Niombe kozi gani kati ya hizi ambazo hazina ushindani mkubwa?

Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
228
86
Habari wana JF

Nataka niombe Kozi kwenye second round itakayo anza kesho.

Je kati ya Kozi hizi ipi niweke Kama first priority ili niweze pata chuo awamu hii ya pili

IMG-20201011-WA0030.jpg
 
Manager atakuwa kama akisoma BA ofcommerce in Tourism management, unafany kaz kwny sehem yotote inayohusik na utalii kwny level za management, sio mbaya ipo UDOM & UDSM
 
Na hiyo wildlife management ipoje Mzee?
 
Na hiyo wildlife management ipoje Mzee?

Kama umewahi kuskia wahifadhi wa wanyamapori ndio wanasomea hii, ina deal na mambo ya tourguiding, and everything concerning how to manage hifadhi za wanyamapori (wildlife)..soko lake wengi huwa tourguides, au kuajiriwa na serikali kama rangers, and so on but haitoki nje ya wildlife..
 
Daah umenifungua macho mkuu na vipi upande wa competition kwenye chuo husika mfano Pale Sua (Competition ya kupata nafasi)
 
Nisikudanganye kwa ujuzi wangu SUA hii course ina conpetition sana lkn usiache kuapply kwa round ya pili pia, ila kwa mtazamo mwngne pia kwny application zako jaribu jaribu course zingne za utalii mana huwa mwshowe zinaingiliana sana, mana utaajiriwa na kujiajiri pia ukipata channel nzuri, after hii miaka kadhaa apa after corona utalii utarudi kwa kasi sana,
 
Ahsante Sana mkuu

Nashkr Sana aseeh
 
Hutochaguliwa round ya pili kwa hivyo vyuo, Sikukatishi tamaa mkuu lakini competition ni kubwa na ufaulu wako ni wa kawaida probability ya kutochaguliwa ni kubwa hata kwa kozi kama hiyo ya maswala ya Animations. Cha kufanya kwenye applications zako ongeza vyuo kama MoCu, NIT, IFM hawa ni vigumu kukuacha.
 
Swadakta

Back
Top Bottom