Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

MaT2B

JF-Expert Member
Jul 12, 2019
387
969
Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
 
Ni kwamba wanawake hukutani nao ama hukutani na unaowataka?
 
Wanawake wengi sna ila wengi hawajitambui wanataka kufeki maisha ..
Udhuurua sna kanaisani Mara kwa maraa alfu utamnoti mtu ambae sababisha iwe. Rais Kila ibada usikoze kumsalimiaa...na bla bhla zinginea au misiba udhuria tu ukosi pia uko wengi siku hz wanawake wanaenda misibani kutafuta mabwam
 
huujui upweke,huwezi muelewa mama,wanawake hamjuagi tu tunavowahitaji,unakiangalia kitanda unamkumbuka mtu hadi unaamua kulala kwenye kochi yani akili yako inakwambia kama fulani hayupo hakuna kulala hapo

Kumbe na nyie hiyo hali inawapataga

Kwanini sasa mnakuaga na viburi na kusema kirahisi nimempiga chin
Kumbe joto la jiwe linakuaga kali kiasi hiko
 
Back
Top Bottom