Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

Haya mambo hutokea pale ambapo unakifia chama afu hakioni juhudi zako,ndipo unageuka na kuwa muasi hata pascal manjaaa anadonge zito limemkaba kooni
Sasa kwani tuishi kwa mambo ya kivyama vyama na si maslahi ya taifa na Uzalendo wa kweli na sii uzalendo maslahi. Upo msemo maendeleo hayana vyama ila unatumika vibaya kwa wazalendo maslahi .
 
Acha siasa za kishamba,suala la Miga halihusiani na kutetea haki za watanzania.
Mbona hatujasikia mafala wenzako wakitetea haki za watanzania?
Haki zipi unazosema anatetea Watanzania? Kama ameshindwa kuwatetea Watanzania wanufaike na rasilimali zao, anaanza kuwatishia kuwa wapambanaji kuwa Watanzania tutanyolewa vipara kwa kutumia vipande vya chupa bila maji ili watu waogope. Labda mashoga wenzake, nilisikia akiwatetea hao kuwa wana haki ya kupata haki yao.
 
Haki zipi unazosema anatetea Watanzania?kama ameshindwa kuwatetea Watanzania wanufaike na rasilimali zao,anaanza kuwatishia kuwa wapambanaji kuwa Watanzania tutanyorewa vipara kwa kutumia vipande vya chupa bila maji,ili watu waogope,Labda mashoga wenzake,nilisikia akiwatetea hao kuwa wanahaki ya kupata haki yao
Kwa hii post uliyoweka hapa unastahili kujibiwa?
 
Haki zipi unazosema anatetea Watanzania?kama ameshindwa kuwatetea Watanzania wanufaike na rasilimali zao,anaanza kuwatishia kuwa wapambanaji kuwa Watanzania tutanyorewa vipara kwa kutumia vipande vya chupa bila maji,ili watu waogope,Labda mashoga wenzake,nilisikia akiwatetea hao kuwa wanahaki ya kupata haki yao
Sikiliza ndugu, wapo waliokuwa hawaambiwi na wala hawa sikii ila leo wao ndio Wana uchungu kuliko wa utetezi kwa unaemtetea kwa kuwa unapata maslahi na uzuri wa jukwaa hili, kumbukumbu ndio mpango mzima, kivingine ni kuwa mchawi ni teknologia na sii ndumba tena. Hivyo tafakari na chukua maarifa kwa kila mmoja vitaweza kuwa msaada kwako.
 
Vile ulikwenda shule kujifunza ujinga? KKK ilikupiga chenga. Bandiko linatia kichefuchefu!
[/QUOTE Tatizo lenu ampendi kuambiwa ukweli, Lissu alifanya kazi gani baada ya kuwa mbunge?kama sio kutetea tumbo lake, mpaka amesababisha chadema kuwa ya hovyo,kwa tamaa zake na Mbowe wakala ela za Lowossa wakamfukuza Slaa.Lissu ni mla rushwa tu.
 
Haki zipi unazosema anatetea Watanzania?kama ameshindwa kuwatetea Watanzania wanufaike na rasilimali zao,anaanza kuwatishia kuwa wapambanaji kuwa Watanzania tutanyorewa vipara kwa kutumia vipande vya chupa bila maji,ili watu waogope,Labda mashoga wenzake,nilisikia akiwatetea hao kuwa wanahaki ya kupata haki yao
Mashoga wenzake nani huko lumumba wanahaki ya kupata haki yao?
 
Attachments

  • img_1_1603357013429.jpg
    img_1_1603357013429.jpg
    10.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom