Ninyi Watanzania Nani Kawaloga? Ni CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninyi Watanzania Nani Kawaloga? Ni CCM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IsayaMwita, Mar 26, 2008.

 1. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hebu ninyi watanzania nani kawaloga? Mbona mnaturudisha nginingi? nani kawambia kuwa nyekundu ni nyeupe? Mungu tusaidie ili kizazi kijacho kisije kikatuhukumu na kutuona tulikuwa matahira enzi zetu.

  Ndugu zangu naomba muamke, msimame, pigeni mbiu, muikimbie aibu hii ijayo, utamuambia nini mjukuu wako wewe mwenye umri wa miaka 35 ziku hizo? Mmeuza kila kitu, wajukuu wako watakulaumu sana na watakwambia kuwa ninyi mlikuwa wavivu wa kufikiri na waoga.

  Mtolewa amepatikana,mtetezi wa nginingi lakini bawabu mnamkwamisha,poleni sana,mmemsahau huyu bi kilembwe(ccn?), mnajua hujuma zake kweli? Mmesahau kwa kupitia wabunge wake ndipo serikari ya Giningi imejikosoa? Watanzania wamegundu uozo uliokisiri katika taifa letu? Nani wa kumvunja moyo?
  UNA LAKO JAMBO, WEWE UNAYESEMA KUWA MBOWE NI FISADI, HAUNA HOJA, POLE SANA,ULIKUWA WAPI USIWAKILISHE HOJA HII TANGU ENZI HIZO?

  Ndugu zangu wanaginingi tumuunge mkona Mbowe, mtu anayetumia hata rasimali zake ili watanzania tujikomboe kidemocrasia,acheni maneno watanzania.Nanyi mnaopokea chochote kitu toka kwa hao MAFISADI ILI MUWASAFISHE, DAMU YA WATOTO WENU IKO JUU YENU, NIMEWALAANI!!!!!

  Wanaforum najua ninyi nyote mko mijini, umeme tele,maji tele, mmesahau taabu za ndugu zenu kule kijijini, ndiyo maana mnatoa hisia zenu za kuwatetea MAFISADI POLENI SANA, nawakumbuka ndugu zangu kule Kemange, Gamasara, Kilibo na hata Uchuna pasipo na umeme wa uhakika elimu duni na hata Afya ya jamii ni ndoto tu, namkumbuka mama yangu anayetembea muda mrefu tutweka hayo maji,huku wachache(viongozi) wakikwapua PESA za walipa kodi chozi linanilenga lenga, naukumbuka ule uta wangu na kale kasime kangu, nachelea kusema iko siku tutakwenda sawa.

  Iko siku jua litashindwa kuzama........
  Haiwezekani kabisa mijitu ineemeke yenyewe!!!!!

  Huye mtoto wa masikini ndoto za kusoma chuo kikuu inaanza kuwa hadithi, hebu hiyo asilimia 40% iko wapi? laki nne ziko wapi,hebu mnajua hata njaa imeongezeka kule kijijini?

  Watanzania jengeni Uzalendo, maslahi ya Taifa Mbele,acheni kuwasafisha Mafisadi na kuwapaka matope wakombozi wetu.

  mwana wa Mwita nimesema.
   
 2. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #2

 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  huenda ikawa ni ccn na si ccm
   
 4. Yunic

  Yunic Senior Member

  #4
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Oghambire bhuya mwana wa Mwita!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Amaghana ghasarikire Muraaa
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Mar 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna sehemu ambazo CCM HAIJAWAHI KUFIKA TOKA NCHI HII IANZE KUITWA TANZANIA SEHEMU HIZO HATUWEZI KUILAUMU CCM KAMA CHAMA NI KUWALAUMU WATU WA HUKO KWA KUTOKUWA WAZALENDO KWA KUTOKUWA MAKINI KUPIGANIA MAENDELEO YAO BINAFSI
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  shy fafanua mkuu ni wapi huko ambako CCM haijawahi kufika?
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Mar 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na Kuna Sehemu Wamefika Sema Tu Kuna Watu Sio Wazalendo Na Hawaitakii Mema Ccm Na Wananchi Kwa Ujumla

  Kama Kigoma Nakumbuka Enzi Hizo Ilikuwa Balaa Kwa Maendeleo , Mtwara Mikindani Pale Ile Bandari Ilikuwa Powa Sana Wenyewe Wameiharibu Na Sehemu Zingine Nyingi

  Hapa Hatuilaumu Ccm Tutawalaumu Watu Wa Huko Kwa Kutokufanya Jitihada Za Dhati Na Za Kweli Za Kujikakamua Na Kupigania Maendeleo Yao
   
 9. Yunic

  Yunic Senior Member

  #9
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amang'ana namaiya mura!
   
 10. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Naoa watani zangu wa musoma munaendeleza lugha .... kwi kwi kwi
   
 11. Yunic

  Yunic Senior Member

  #11
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haswaaa! Oh, kumbe wewe mtani? kwi kwi kwi!
   
 12. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  shy nimekuelewa tena ni sehemu nyingi kama vile Kilosa, Kilombero (nakumbuka vijiji vya kilombero vilikuwa vinaongoza mashindano ya kijiji bora enzi za Mwl Nyerere. nimeshangazwa na habari za hivi karibuni, kwamba moja wapo ya maeneo yenye njaa ni Mbeya, wakati ndiyo iliyokuwa inaongoza ktk big four.

  Mawazo mazuri shy, wananchi wanatakiwa kuwa wazalendo (wenye uchu + uchungu wa maendeleo, hivyo wawe wanawakoromea vilivyo viongozi MAFISADI, WAZEMBE, WASIONA MBALI nk. Ikiwa ni pamoja na kuwanyima kura.

  WAKUU MMEIPATA HIYO? KWAMBA TATIZO NI WANANCHI KUKOSA UZALENDO NA KUENDEKEZA ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA HUKU NCHI IKILIWA NA KUBAKI TUKIILAUMU CCM. tujilaumu wenyewe kwa kukumbatia viongozi wabovu.
   
 13. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #13
  Mar 27, 2008
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ningemuunga mkono Mbowe na wenzie, kama kungekuwa na true opposition hapa Tanzania. Wakitaka tuwaunge mkono waunde coalition... what's stopping them?

  ./MwanaHaki
   
 14. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kwenye ballots pia wengi huona CCM ! Nafikiri this explains why is the political juggernault ndani ya bongo !
   
 15. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kweli sioni upinzani hapa Bongo, unataka waungane Tatizo nadhani si kuungana ni ubinafsi walio nao, unadhani wakiamua kuunda colition nani ataklubali kuwa chini ya mwenzake....? waangalie Mbowe, Lipumba au Mrena
   
Loading...