Ninyi RFA hivi leo hamjui ni siku ya kumbu kumbu ya Karume?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nimewasikiliza asubuhi muda wote mpo kwenye habari za Magufuli,na ule wimbo maarufu wa maombolezo wa kinigeria.Kwani hamjui siku za maombolezo zilikuwa siku 21 na zimeisha jana?

Badilikeni bhana msidhani hizo habari hazichoshi.Acheni watu wapumue wawaze mambo mengine.

Kazi inaendelea
 
Hawajaelewa bado kuwa awamu ya tano imekwisha na tuko awamu ya sita sasa.

Hawajaelewa bado kuwa awamu hii pia inahitaji sana kodi lakini tofauti iko hapa:

"haina haja na kodi yoyote ya dhuluma!"

Hiiiiii bagosha!
 
Kabisa mbona Mkapa yeye hapewi thamani wakati yeye ndo alifany ya maana japo nae alitupga
 
Sio kwamba hatukuumia tuliumia ila kwa sasa Inatoshaaaaaa.
 
Nimewasikiliza asubuhi muda wote mpo kwenye habari za Magufuli,na ule wimbo maarufu wa maombolezo wa kinigeria.Kwani hamjui siku za maombolezo zilikuwa siku 21 na zimeisha jana?

Badilikeni bhana msidhani hizo habari hazichoshi.Acheni watu wapumue wawaze mambo mengine.

Kazi inaendelea
Hao wasukuma bwana.

Au kuna siku ulimuona meko anaenda kwenye maadhimisho yoyote huko Zanzibar?
 
Nimewasikiliza asubuhi muda wote mpo kwenye habari za Magufuli,na ule wimbo maarufu wa maombolezo wa kinigeria.Kwani hamjui siku za maombolezo zilikuwa siku 21 na zimeisha jana?

Badilikeni bhana msidhani hizo habari hazichoshi.Acheni watu wapumue wawaze mambo mengine.

Kazi inaendelea

Cha Kushangaza Boss wao ( Mmiliki ) kwa miaka yote Mitano alikuwa akijikomba kwa Hayati ili Mambo yake yaende hakuna alichofanikiwa.

Hakuna Media ambayo imepitia Kipindi Kigumu ( hasa Kiuchumi ) kwa Kupotezewa na Kukomolewa na Hayati kama hii Ndugu.

Halafu bado Mtu anaendelea tu Kujikomba ( Kujipendekeza ) Kumsifu na Kumkumbuka Mtu aliyekuwa hasa Msaada Kwake.
 
Back
Top Bottom