Ninyi Mawaziri wa CCM, lini mtaacha kutudanganya Watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninyi Mawaziri wa CCM, lini mtaacha kutudanganya Watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masakata, Jun 17, 2012.

 1. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  1.Toka siku ya J4, wiki hii sehemu kubwa ya wakazi wa DSM tunaotegemea maji toka mtambo wa Ruvu chini, hatuna maji kabisa hadi muda huu navyotuma hii post,licha ya tangazo la Mh.Maghembe kupitia taarifa ya habari ITV,siku ya Ijumaa saa 2 usiku kwamba maji yataanza kutoka baada ya saa 12 (nadhani toka tangazo hilo litoke)

  Cha ajabu,sasa saa karibu 50 zimeshapita hakuna cha Maji wala Upepo,khali ni mbaya sana hasa maeneo ya huku Kawe naTangi bovu,nadhani kipindupindu nacho hakipo mbali,

  2.Waziri wa zamani wa Fedha nae alilidanganya bunge juu ya uuzwaji wa kiwanja cha CHC,nadhani kamati ya Mh.Zitto watamshughulikia huyu Mr.Mkullo

  Sasa nawauliza ninyi mawaziri wa Magamba hivi uwongo mtaacha lini? au ndio kibri cha madaraka au kwa kuwa ninyi familia zenu hamjui mgawo wa maji..kama hii wizara nayo imekushinda Mh.Maghembe achia ngazi..MNAKERA SANA!
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkapa kama Rais alikuwa na mapungufu yake lakini huyu mkweree kweli kazi imemshinda kakalia kutuibia tu mpaka MwanaAsha sasa ananatutukana kwenye facebook kuwa ukoo wao sasa UMASKINI NDIO BASI; RICH FOREVER!!!
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Acha wawatukane maana waTz mmezidi kwa uoga na kubaki kusemea yaliyo moyoni mwenu katika mitandao.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu tafadhali nitake radhi kwa kusema unakosa maji kipindi hiki na wakati mimi kila siku nanunua maji. Kwa mwezi kama laki na ushee hivi. Tabata segerea.
   
 5. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Rais mwenyewe mwongo, waziri mkuu mwenyewe alishashutumiw bungeni kwa uongo na mpaka leo hakuna taarifa zozote kuhusu ushahidi uliotolewa na Mh. Godbless Lema (Spika anapotezea ili kumuokoa Waziri mkuu). Sasa unategemea waziri ataogopa kudanganya kama mabosi wake wanadanganya mchana kweupe?
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2015
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  hii post ya zamani ila sikuwa nimeiona, kumbe alisema hivyo? Na kaka yake namwona anaendeleza vijembe huko FB hata baada ya kuingia mjengoni. Kuna siku watajibu hayo majigambo yao ya uswahilini.
   
 7. Mount Kibo

  Mount Kibo JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2015
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 1,902
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tukishakufa wote ndo wataacha kutudanganya
   
 8. j

  joey kooley Member

  #8
  Jun 10, 2015
  Joined: Dec 15, 2014
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wasamehe wamechanganyikiwa. Uhakika wa kurudi awamu ya 5 inafifia kila siku.
   
Loading...