Ninunue TV gani kati ya TCL na Blackstone?

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Nimekuwa nikifuatilia ubora wa TV za mkulima ila nimebaini TCL na Blackstone naona kama zipo juu, sasa hapa nimeshindwa kufanya uamzi nichukue ipi?

Naomba ushauri wenu, nichukue ipi na bei kwa size 24 na 32 ni ipi?
 
We achana na hizo kachukue Lg au sony original achana na hao wajanja wajanja wa kina tcl ambao wanajifanya hitachi
 
Kwa uzoefu wa workshop chukua TCL ipo vizuri kuliko hiyo ambayo inatumia common chip na firmware za kichina. Kuhusu mistari (fault za T-con) lipo kote na ndiyo tatizo kubwa la flat TV haswa za brand kubwa hata kama imetengenezwa Korea.
 
Natumia TCL Mwaka wa SITA sasa na haina tatizo lolote.ukiiangalia ni kama mpya unaweza kuhisi haina hata miezi sita.
Nimehama nayo nyumba tano pamoja na kusafiri nayo mkoa na kurejea.
 
Vip bei yake kwa inch 24?
Natumia TCL Mwaka wa SITA sasa na haina tatizo lolote.ukiiangalia ni kama mpya unaweza kuhisi haina hata miezi sita.
Nimehama nayo nyumba tano pamoja na kusafiri nayo mkoa na kurejea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom