Gharama ya matengenezo+madeni ya tra hapo lazima ukimbie maana kama aliyekuuzia hiyo bajaji anadaiwa na tra hayo madeni utayavaa wwUmeongea bonge la point, kweli mkoani bajaji used zipo nyingi ukibahatika ya 3M ni kama mpya
Gharama ya matengenezo+madeni ya tra hapo lazima ukimbie maana kama aliyekuuzia hiyo bajaji anadaiwa na tra hayo madeni utayavaa wwUmeongea bonge la point, kweli mkoani bajaji used zipo nyingi ukibahatika ya 3M ni kama mpya
Utauziwaje kitu bila kujihakikishia mkuu? Yaani unauziwa mbuzi kwenye kiroba, mkuu lazima kujiongezaGharama ya matengenezo+madeni ya tra hapo lazima ukimbie maana kama aliyekuuzia hiyo bajaji anadaiwa na tra hayo madeni utayavaa ww
Sasa hizo gharama za TRA ndio zitafanya hiyo bajaji bei ishuke zaidi.Gharama ya matengenezo+madeni ya tra hapo lazima ukimbie maana kama aliyekuuzia hiyo bajaji anadaiwa na tra hayo madeni utayavaa ww
Muoga wa Maisha tu wewe huna unachokijua.Usijaribu huu ushauri Ni wa kipuuzi
Mkoa ganiUmeongea bonge la point, kweli mkoani bajaji used zipo nyingi ukibahatika ya 3M ni kama mpya
Tafuta passo , show room inafika mpaka 6.5 , hapo jan japan namanga , weka kwenye uber , biashara ikiwa ngumu kwa kumpa dereva unafanya mwenyewe , ukishindwa kabisa unauza au inakuwa gari yako binafsi ya
Soma statement yake vizuri halafu kati ya mimi au wewe nani anatakiwa atumie akili
Mkuu nimechukulia siku za mkataba yaani miaka miwili; mwaka mmoja siku 365, miaka miwili siku 730. Hope umeelewa. Na nimefanya hivyo kwa kuwa malipo ni kwa siku ambayo ni 20k.Hata mie nimeshindwa hiyo hesabu yake. Pengine siku ina masaa 48?
Basi inategemeana mmiliki, ninao jamaa zangu wawili mkataba walioandikishana ni mwaka mmoja na miezi sita kwa bajajiAnyway, hapa Dar nimeambiwa ni 2 years mkuu kwa bajaji mpya na daily ni hy 20k
Amepiga ya miaka 2 mkuuKumbe mwaka una siku 730?
Can't be seriousNenda mikoani kanunue bajaji chakavu hata laki 7 aifiki,ilete mjini peleka gereji mburahati huko gharama kuirudisha barabarani haizidi milion 2.
Kwa hiyo ela unapata bajaji 2 na kuziweka barabarani.
Just imagine yourself
Mimi mwenyewe nimevutiwa na bei hii. Kama show room unapata passo kwa 6.5 ngoja nikazane kujichanga.PASSO? MIL 6.5 show room? Na kodi imelipiwa?
Aisee nipo nyuma sana ya dunia kama majibu ya maswali yote hayo hapo yatakua NDIYO.
Anajua sana. Mtu amesema anataka kitu kipya, we unataka ku-justify kuwa kitu kibovu ni bora kuliko kipya, vipi? Kwa nini ajihangaishe kununua dude bovu, tena mkoani wakati anao uwezo wa kununua kipya?Muoga wa Maisha tu wewe huna unachokijua.
Boss ukishafanikiwa kumiliki chombo mbovu? Aisee sio poa kbs yaani unaishi huna amani, ni full stress!!Nenda mikoani kanunue bajaji chakavu hata laki 7 aifiki,ilete mjini peleka gereji mburahati huko gharama kuirudisha barabarani haizidi milion 2.
Kwa hiyo ela unapata bajaji 2 na kuziweka barabarani.
Just imagine yourself
Mkuu pamoja na kukupa like naomba nikushukuru tena. AsanteAnajua sana. Mtu amesema anataka kitu kipya, we unataka ku-justify kuwa kitu kibovu ni bora kuluko kipya, vip? Kwa nini ajiangaishe kununua dude bovu, tena mkoani wakati anao uwezo wa kununua kipya?
Mkuu unaonaje kwa suala la kuingia nae mkataba ili after 2 yrs umwachie. Nasikia hii ina work vzr maana hata utunzaji unakuwa bi mzr maana anajua akiibomoa mwisho wa siku anabomoa kitu chake cha baadae.Biashara ya bajaji inalipa Sana kama unafanya mwenyewe na inalipa kidogo Sana Kama ukimkabidhi mtu muaminifu ila ukikutana na mtu mwenye tamaa mwsho inakutia umaskin mtu siku nyingine anapiga bingo had 50 kwa siku alaf anakupa 20 na service hapigi hta oil haangalii yeye ni petrol tu na kuingiza hela chuma ikishaanza kuchoka na yeye anaacha kukuletea hela yako mnagombana had anakurudishia chombo ikiwa kwenye hali mbaya huk yeye kashanunua pikpik yake mpya inakua n kma vile kaja kuvuna kwako na kukutia hasara bila kujali umeweka pesa kias gan.
Na hawa wa mktaba wa miaka miwili huwa wanaona miaka miwili ni mingi Ukimuachia akae nayo ndo kabisa Bajaj haipumziki mchana anapiga kaz yeye usiku anampa mtu mwingine had uje ushtuke imeshakua ngarangara na kashanunua hata bajaj yake na anakutupia yako hapo yan kama huna uvumilivu unaweza kumvunja mtu mkono