Ninunue ipi kati ya Bajaj na Gari kwa biashara ya Bolt

Mnh Bajaj baada ya miaka miwili si yako. Unamnunulia mwenzako unamtoa kimaisha. Kwangu mimi ni big no.
Karibu na Suzuki Carry itakuletea same amount ya 20,000/day na itakuwa yako siku zote mpaka utakapo amua kuiuza.
 
Suzuki Carry sawa itakuwa yako over its life time; je katika kipindi cha miaka 2 itakuwa imekurejeshea pesa yako na kuleta faida kwa angalau asilimia 98? aubutakuwa unaonekana unamiliki carry lkn moyoni ni mwenye machungu?

Sitaki kumiliki asset ambayo badala ya kuleta hela ina leta madeni. Kama gari ya kupigia misele ipo so sitaki show off ambazo hazinipi unafuu wa maisha na kitu kaa hizo.
 
Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt.

BAJAJ
Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio wengi wananunua na kuingia mkataba na dereva kwa miaka miwili ambapo kwa siku ni 20k bila kujali ni J1, J2 au Sikukuu hivyo kufanya kwa miaka miwili kuwa 20,000× siku 730=14,600,000. hapo gharama za service ni zake na baada ya miaka miwili unamwachia Chombo.

GARI
kwa upande wa gari kwa kweli sijajua chochote zaidi ya kujua tu kwa 7.5M nitapata gari ndogo itakuwa kwenye hali nzuri lkn bado tatizo kujua mfano kwa siku inaingiza kiasi gani hasa kwa sababu hii itategemea request ya wateja hivyo hapa hasa ndipo ningehitaji msaada ili niweze kufikia maamuzi kwa kipi nikichukue kati ya Bajaj mpya ambayo baada ya miaka miwili nitamwachia dereva au gari ambayo kwa sasa katika kipindi cha miaka miwili sijajua itaniingizia kiasi gani.

Ninaomba mwenye kujua hasa kwa upande wa gari plz lets share exprience.

Naomba kuwasilisha.
Lete kwangu nunua mashine ya kusaga na kukoboa fanya instalation sehem kama dodoma tuingie mkataba kwa mwez milion kwa mwaka miaka miwili tunaachana
 
Suzuki Carry sawa itakuwa yako over its life time; je katika kipindi cha miaka 2 itakuwa imekurejeshea pesa yako na kuleta faida kwa angalau asilimia 98? aubutakuwa unaonekana unamiliki carry lkn moyoni ni mwenye machungu?

Sitaki kumiliki asset ambayo badala ya kuleta hela ina leta madeni. Kama gari ya kupigia misele ipo so sitaki show off ambazo hazinipi unafuu wa maisha na kitu kaa hizo.
Ndio niko nayo, changamoto za magari ni kawaida. Leo ukiambiwa tairi imeisha unatoa unanunua. Hii inaitwa running cost.
Ila sijawahi jutia. Nimepata dereva mwaminifu tu ananilazia 20k per day. Yaani hii ni budget ya mahitaji yangu ya kila siku. Yaani mshahara wangu unabakigi kwenye akaunti tu nakufanyia project nyingine.
Hapa nilipo natamani niongeze nyingine lakini mambo hayako sawa.
 
Wachache wenye bahati kama yako, madereva si waaminifu sana!
 
Sasa chifu nini kifanyike ikiwa wewe mwenyewe mmiliki labda unabanwa na kazi ofisini mpaka wikendi ndio unapata muda
Biashara ya bajaji inalipa Sana kama unafanya mwenyewe na inalipa kidogo Sana Kama ukimkabidhi mtu muaminifu ila ukikutana na mtu mwenye tamaa mwisho inakutia umaskini, mtu siku nyingine anapiga bingo had 50 kwa siku halafu anakupa 20 na service hapigi hata oil haangalii yeye ni petrol tu na kuingiza hela chuma ikishaanza kuchoka na yeye anaacha kukuletea hela yako mnagombana hadi anakurudishia chombo ikiwa kwenye hali mbaya huku yeye kashanunua pikpik yake mpya inakua ni kama vile kaja kuvuna kwako na kukutia hasara bila kujali umeweka pesa kiasi gani.

Na hawa wa mkataba wa miaka miwili huwa wanaona miaka miwili ni mingi Ukimuachia akae nayo ndo kabisa Bajaj haipumziki mchana anapiga kazi yeye usiku anampa mtu mwingine hadiuje ushtuke imeshakua ngarangara na kashanunua hata bajaj yake na anakutupia yako hapo yaani kama huna uvumilivu unaweza kumvunja mtu mkono
 
PASSO? MIL 6.5 show room? Na kodi imelipiwa?

Aisee nipo nyuma sana ya dunia kama majibu ya maswali yote hayo hapo yatakua NDIYO.
Unacho shangaa nini sasa juzi tumenunua canter box bord 23M hapo hapo Jan japan namanga Dar wakati mimi hesabu zangu zilikuwa zina niambia sii chini ya 26M au 24M hapo na kodi completely nili choka ila haikuwa yangu nilifanya kaudalali, kuna mnyalu mmoja mshamba mshamba aliingia kingi nika sepa na 2M ya udalali yeye alijua kanunua kwa 25M kumbe ni 23M ila udalali una lipa ukiwa na wateja wengi na hapo ndipo nikajua kumbe magari mengine bei nafuu kabisa.
 
Back
Top Bottom