Ninunue ipi kati ya Bajaj na Gari kwa biashara ya Bolt

nG'aMBu

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
1,662
2,000
Gharama ya matengenezo+madeni ya tra hapo lazima ukimbie maana kama aliyekuuzia hiyo bajaji anadaiwa na tra hayo madeni utayavaa ww
Utauziwaje kitu bila kujihakikishia mkuu,? Yaani unauziwa mbuzi kwenye kiroba, mkuu lazima kujiongeza
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,808
2,000
Tafuta passo , show room inafika mpaka 6.5 , hapo jan japan namanga , weka kwenye uber , biashara ikiwa ngumu kwa kumpa dereva unafanya mwenyewe , ukishindwa kabisa unauza au inakuwa gari yako binafsi ya

Soma statement yake vizuri halafu kati ya mimi au wewe nani anatakiwa atumie akili

Hata mie nimeshindwa hiyo hesabu yake. Pengine siku ina masaa 48?
Mkuu nimechukulia siku za mkataba yaani miaka miwili; mwaka mmoja siku 365, miaka miwili siku 730. Hope umeelewa. Na nimefanya hivyo kwa kuwa malipo ni kwa siku ambayo ni 20k.
 
Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,411
2,000
Nenda mikoani kanunue bajaji chakavu hata laki 7 aifiki,ilete mjini peleka gereji mburahati huko gharama kuirudisha barabarani haizidi milion 2.

Kwa hiyo ela unapata bajaji 2 na kuziweka barabarani.

Just imagine yourself
Can't be serious
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,808
2,000
Nenda mikoani kanunue bajaji chakavu hata laki 7 aifiki,ilete mjini peleka gereji mburahati huko gharama kuirudisha barabarani haizidi milion 2.

Kwa hiyo ela unapata bajaji 2 na kuziweka barabarani.

Just imagine yourself
Boss ukishafanikiwa kumiliki chombo mbovu? Aisee sio poa kbs yaani unaishi huna amani, ni full stress!!
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,808
2,000
Anajua sana. Mtu amesema anataka kitu kipya, we unataka ku-justify kuwa kitu kibovu ni bora kuluko kipya, vip? Kwa nini ajiangaishe kununua dude bovu, tena mkoani wakati anao uwezo wa kununua kipya?
Mkuu pamoja na kukupa like naomba nikushukuru tena. Asante
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,654
2,000
Biashara ya bajaji inalipa Sana kama unafanya mwenyewe na inalipa kidogo Sana Kama ukimkabidhi mtu muaminifu ila ukikutana na mtu mwenye tamaa mwsho inakutia umaskin mtu siku nyingine anapiga bingo had 50 kwa siku alaf anakupa 20 na service hapigi hta oil haangalii yeye ni petrol tu na kuingiza hela chuma ikishaanza kuchoka na yeye anaacha kukuletea hela yako mnagombana had anakurudishia chombo ikiwa kwenye hali mbaya huk yeye kashanunua pikpik yake mpya inakua n kma vile kaja kuvuna kwako na kukutia hasara bila kujali umeweka pesa kias gan.
Na hawa wa mktaba wa miaka miwili huwa wanaona miaka miwili ni mingi Ukimuachia akae nayo ndo kabisa Bajaj haipumziki mchana anapiga kaz yeye usiku anampa mtu mwingine had uje ushtuke imeshakua ngarangara na kashanunua hata bajaj yake na anakutupia yako hapo yan kama huna uvumilivu unaweza kumvunja mtu mkono
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,808
2,000
Mkoa
Umeongea bonge la point, kweli mkoani bajaji used zipo nyingi ukibahatika ya 3M ni kama mpya
Kumbuka used haitakuwa kwa mkataba wa 2 yrs pia. Maana hakuna dereva atakubali umsainishe mkataba na Bajaj yenye kasoro za wazi.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,808
2,000
Biashara ya bajaji inalipa Sana kama unafanya mwenyewe na inalipa kidogo Sana Kama ukimkabidhi mtu muaminifu ila ukikutana na mtu mwenye tamaa mwsho inakutia umaskin mtu siku nyingine anapiga bingo had 50 kwa siku alaf anakupa 20 na service hapigi hta oil haangalii yeye ni petrol tu na kuingiza hela chuma ikishaanza kuchoka na yeye anaacha kukuletea hela yako mnagombana had anakurudishia chombo ikiwa kwenye hali mbaya huk yeye kashanunua pikpik yake mpya inakua n kma vile kaja kuvuna kwako na kukutia hasara bila kujali umeweka pesa kias gan.
Na hawa wa mktaba wa miaka miwili huwa wanaona miaka miwili ni mingi Ukimuachia akae nayo ndo kabisa Bajaj haipumziki mchana anapiga kaz yeye usiku anampa mtu mwingine had uje ushtuke imeshakua ngarangara na kashanunua hata bajaj yake na anakutupia yako hapo yan kama huna uvumilivu unaweza kumvunja mtu mkono
Mkuu unaonaje kwa suala la kuingia nae mkataba ili after 2 yrs umwachie. Nasikia hii ina work vzr maana hata utunzaji unakuwa bi mzr maana anajua akiibomoa mwisho wa siku anabomoa kitu chake cha baadae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom