Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,751
- 3,323
Hizi akili ni zangu kabisa...sijui kwani nazielewa sana Rav 4 generation 3 hizi gari zimekaa vizuri sana.very comfortable.Nje ya mada chukua 2006,2007 Toyota Rav 4, vanguard ni rav4 mayai