Ninja akiwa kazini,neno moja kwake

Tena huwezi amini huyu ndio anaweza kuwa waziri atakaye kaa kwenye wizara hii kuliko wengine tangu uhuru!!kwani usanii wake na matamko yake ndiyo yanapendwa sana na jiwe!!na yeye ameshajua nini jiwe linataka
Ahahaha ila ajihadhari mana wanaweza wakamtegene movie akashindwa kuchomoka.
 
Ushawahi kuendesha auto mkweche?
Ukiweza rivas inaenda mbele?
Afu haibadili gia ni moja na 2 tu
Hahahahaha mkuu auto nimeanza kuendesha hivi karibuni enzi zetu ilikuwa ni Fiat aka mbaula roho ya paka Leyland sterling jiwe hapo ni route ya mwanza kusomba pamba vijijini huko barabara mbovu balaa ambazo ingekuwa leo hii hao kina Noah Lexus zingeweza hata kidogo kusurvive
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom