jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,634
Habar Wana JF,
Ethiopia ni nchi iliyopo Africa mashariki ingawa haipo kwenye Jumuiya yaa Afrika Mashariki ya EAC.
Je, ina mpango wa kujiunga?
Yenyewe kama yenyewe haikuwahi kuona haja ya kujiunga hapo mwanzo 1967's ingawa miaka ya hivi karibuni miaka 2000's na kuendelea kutokana na biashara na Kenya imeona kuna haja ya kujiunga. Hapa mpambe wake ni Kenya.
Wanachama wanao itaka ijiunge?
Tanzania - hapana
Uganda - hapana
Rwanda na Burundi - hapana /sijui
Sudan Kusini - Sijui
Kenya - Inapenda sana sanaaa tena sana
Sababu ya Kenya kupenda Ethiopia iingie EAC
- Wapokezane mzigo wa Somalia Kama unavojua Ethiopia ni wababe wa Somalia na Al -shabab
- Ikumbukwe kua majeshi ya Kenya yako Somalia kwa muda mrefu na hivo kuicost Kenya Sana kias kwamba Angekua na namna angetamani aibebeshe mzigo huu nchi nyingine.
- Urahisi wa biashara
Swali: Je, nini kitabadilika Ethiopia ikijiunga EAC?
- Nchi zitamezwa na nguvu na ushawishi wa Ethiopia, kumbuka Ethiopia siyo dhaifu kama DRC.
- Ikiwa na population ya watu 87's million
- Largest city Adis Ababa
Hivyo kufanya uegemeo wa EAC kwa Ethiopia. Sawa tu na impact ya Turkey kuingia EU
Kwa Tanzania?
Ni ngumu Sana kwa Tanzania kutrade na Ethiopia kulinganina na sababu za kijiographia lakini ni rahisi ku-trade na Somalia. Kwa kenya ni rahisi sana kutrade na Ethiopia
Tanzania itapoteza yafuatayo?
Mji wenye population kubwa kwa Sasa n Dar es Salaam ukifuatiwa na Mombasa. Ethiopia ikijiunga Adis Ababa ndyo utakua mji wenye population kubwa.
Capital city ya EAC ni Arusha
Ikijiunga Ethiopia ni rahisi Sana capital ya EAC ikawa Adis Ababa kutokana na sababu mbalimbali
NB ikumbukwe Adis Ababa ni mji mkuu wa umoja wa Africa AU
Nchi zilizo pending n DRC na Somalia
Nini maoni yako juu ya Ethiopia kuingia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki?