Nini yatakuwa madhara ya kuruhusu Ethiopia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,152
2,000
Habar Wana JF,

Ethiopia ni nchi iliyopo Africa mashariki ingawa haipo kwenye Jumuiya yaa Afrika Mashariki ya EAC.

Je, ina mpango wa kujiunga?
Yenyewe kama yenyewe haikuwahi kuona haja ya kujiunga hapo mwanzo 1967's ingawa miaka ya hivi karibuni miaka 2000's na kuendelea kutokana na biashara na Kenya imeona kuna haja ya kujiunga. Hapa mpambe wake ni Kenya.

Wanachama wanao itaka ijiunge?
Tanzania - hapana
Uganda - hapana
Rwanda na Burundi - hapana /sijui
Sudan Kusini - Sijui
Kenya - Inapenda sana sanaaa tena sana

Sababu ya Kenya kupenda Ethiopia iingie EAC
- Wapokezane mzigo wa Somalia Kama unavojua Ethiopia ni wababe wa Somalia na Al -shabab
- Ikumbukwe kua majeshi ya Kenya yako Somalia kwa muda mrefu na hivo kuicost Kenya Sana kias kwamba Angekua na namna angetamani aibebeshe mzigo huu nchi nyingine.
- Urahisi wa biashara

Swali: Je, nini kitabadilika Ethiopia ikijiunga EAC?
- Nchi zitamezwa na nguvu na ushawishi wa Ethiopia, kumbuka Ethiopia siyo dhaifu kama DRC.
- Ikiwa na population ya watu 87's million
- Largest city Adis Ababa
Hivyo kufanya uegemeo wa EAC kwa Ethiopia. Sawa tu na impact ya Turkey kuingia EU

Kwa Tanzania?
Ni ngumu Sana kwa Tanzania kutrade na Ethiopia kulinganina na sababu za kijiographia lakini ni rahisi ku-trade na Somalia. Kwa kenya ni rahisi sana kutrade na Ethiopia

Tanzania itapoteza yafuatayo?
Mji wenye population kubwa kwa Sasa n Dar es Salaam ukifuatiwa na Mombasa. Ethiopia ikijiunga Adis Ababa ndyo utakua mji wenye population kubwa.

Capital city ya EAC ni Arusha
Ikijiunga Ethiopia ni rahisi Sana capital ya EAC ikawa Adis Ababa kutokana na sababu mbalimbali
NB ikumbukwe Adis Ababa ni mji mkuu wa umoja wa Africa AU
Nchi zilizo pending n DRC na Somalia

Nini maoni yako juu ya Ethiopia kuingia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki?

Screenshot_20200804-070758.jpg
 
Latrice

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
2,395
2,000
Tujiunge ili tupate mademu wakare
Kiruuuuu! We utakuwa umezaliwa na unaishi sehemu zenye wanawake wabaya kwa kuzaliwa!

Yani wanarithi ubaya from their mom ahahaha!
Ungekuwa umezaliwa Singida, Manyara, Lindi, au Kondoa au pengine kuwa na vinasaba na hayo maeneo wala usingezungumzia habari ya madem wakali cause wewe tu in nature utakuwa kama wao hata kwa mbaaali.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,484

Hiyo mikoa uliyotaja naskia wanagawa sana, sio wachoyo kabisa hivi ni kweli?
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
3,437
2,000
Sikubaliani na Ethiopia kujiunga na EAC. Tatizo hii jumuiya inaanza kuleta members wenye shida na taabu tupu. Ethiopia hawabebeki hata kidogo na wanapenda kujikuta matawi ya juu. Nchi yao haina utengamano, hakuna ajira na kuna population kubwa sana. Kitendo cha kujiunga EAC wataondoa fursa au ukuaji wa jumuiya.

Kama Tanzania inagoma kuhusu ardhi na ajira kwa sasa je vipi ikiingia Ethiopia? Watu wao wataishia kuja huku kujishikiza. Mbinu nyingine za kiuchumi na maendeleo zitabidi zikwame tu na pia tutakuwa na migogoro mingi. Wale watu wamezoea ligi na Eritrea, Somalia, Egypt ndo tuwe nao karibu?
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
21,076
2,000
Shida ni pale kenya anapotaka kuwa muamuzi wa nchi nyingine,ndipo tatizo linaooanzia.

Ndio sababu sisi tunaruhusu tu,waunde EA yao ambayo haiungwi mkono na Tanzania,burundi wala uganda.

Ndio sababu tunatakiwa kuelekeza nguvu SADC kuliko huu utopolo comunity.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
4,211
2,000
Wala usiwe na wasiwasi na Ethiopia kujiunga EAC. Kwa historia yao huwa kwanza hawajihesabu kama ni Waafrika bali wanajiona ni race tofauti.

Kwa hiyo social status waliyojiwekea kujifanya kuwa siyo Waafrika wala usiwategemee wajiunge na EAC
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,152
2,000
Wala usiwe na wasiwasi na Ethiopia kujikinga EAC. Kwa historia yao huwa kwanza hawajihesabu kama ni Waafrika bali wanajiina ni race tofauti.

Kwa hiyo social status waliyojiwekea kujifanya kuwa siyo Waafrika wala usiwategemee wajiunge na EAC
Nikweli mkuu....ni sawa na nchi za north Africa
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
11,572
2,000
KENYA WANAANGALIA ZAIDI SOKO LA BIDHAA ZAO SIANI UB AYA KUJIUNGA BALI LAZIMA YATAKUWEPO MACHACHE JUU YA KUJIUNGA KWAO HASAHASA RESTRICTION FULANI FULANI NI LAZIMA ZIWEPO
 
Latrice

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
2,395
2,000
Hiyo mikoa uliyotaja naskia wanagawa sana, sio wachoyo kabisa hivi ni kweli?
Ni story tu, kila kona wanagawa nenda Dodoma kwa wagogo au Songea kwa Wangoni uone utafikiri ngono ni chakula kwao.

Kinachosababisha hayo maeneo kufahamika sana kwa hilo kwanza ni wazuri pili hawana complications sijui za hela na blah blah kama hizo.

Watu wenye vi genes ya hayo maeneo including Moshi tumebarikiwa sana. 😊
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,484
2,000
Ni story tu, kila kona wanagawa nenda Dodoma kwa wagogo au Songea kwa Wangoni uone utafikiri ngono ni chakula kwao.

Kinachosababisha hayo maeneo kufahamika sana kwa hilo kwanza ni wazuri pili hawana complications sijui za hela na blah blah kama hizo.

Watu wenye vi genes ya hayo maeneo including Moshi tumebarikiwa sana. 😊
Moshi mmebarikiwa? Mademu wa moshi labda wawe wa kishua ndio wazuri ila kama maisha kawaida wana shepu mbaya
 
Latrice

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
2,395
2,000
Moshi mmebarikiwa? Mademu wa moshi labda wawe wa kishua ndio wazuri ila kama maisha kawaida wana shepu mbaya
Nimetaja maeneo mengi tu boss hiyo moshi nimeiongeza mwishoni.
Kwa kifupi huwezi mlinganisha dem wa Kinyakyusa au Kihaya na dem wa Kisingida, Kimoshi, Kimanyara au Kikondoa.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,661
2,000
Habar Wana JF,

Ethiopia ni nchi iliyopo Africa mashariki ingawa haipo kwenye Jumuiya yaa Afrika Mashariki ya EAC.

Je, ina mpango wa kujiunga?
Yenyewe kama yenyewe haikuwahi kuona haja ya kujiunga hapo mwanzo 1967's ingawa miaka ya hivi karibuni miaka 2000's na kuendelea kutokana na biashara na Kenya imeona kuna haja ya kujiunga. Hapa mpambe wake ni Kenya.

Wanachama wanao itaka ijiunge?
Tanzania - hapana
Uganda - hapana
Rwanda na Burundi - hapana /sijui
Sudan Kusini - Sijui
Kenya - Inapenda sana sanaaa tena sana

Sababu ya Kenya kupenda Ethiopia iingie EAC
- Wapokezane mzigo wa Somalia Kama unavojua Ethiopia ni wababe wa Somalia na Al -shabab
- Ikumbukwe kua majeshi ya Kenya yako Somalia kwa muda mrefu na hivo kuicost Kenya Sana kias kwamba Angekua na namna angetamani aibebeshe mzigo huu nchi nyingine.
- Urahisi wa biashara

Swali: Je, nini kitabadilika Ethiopia ikijiunga EAC?
- Nchi zitamezwa na nguvu na ushawishi wa Ethiopia, kumbuka Ethiopia siyo dhaifu kama DRC.
- Ikiwa na population ya watu 87's million
- Largest city Adis Ababa
Hivyo kufanya uegemeo wa EAC kwa Ethiopia. Sawa tu na impact ya Turkey kuingia EU

Kwa Tanzania?
Ni ngumu Sana kwa Tanzania kutrade na Ethiopia kulinganina na sababu za kijiographia lakini ni rahisi ku-trade na Somalia. Kwa kenya ni rahisi sana kutrade na Ethiopia

Tanzania itapoteza yafuatayo?
Mji wenye population kubwa kwa Sasa n Dar es Salaam ukifuatiwa na Mombasa. Ethiopia ikijiunga Adis Ababa ndyo utakua mji wenye population kubwa.

Capital city ya EAC ni Arusha
Ikijiunga Ethiopia ni rahisi Sana capital ya EAC ikawa Adis Ababa kutokana na sababu mbalimbali
NB ikumbukwe Adis Ababa ni mji mkuu wa umoja wa Africa AU
Nchi zilizo pending n DRC na Somalia

Nini maoni yako juu ya Ethiopia kuingia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki?

View attachment 1526578
Kenya itafaidika kwani itakuwa katikati ya jumuiya na hata makao makuu yanaweza yakahamishiwa Nairobi kutoka Arusha.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,162
2,000
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.China ina watu zaidi ya bilioni moja lakini wanauaga umasikini huku tunawaona with "naked eye" Kuhofia umoja ni kama kuohofa jini.
The next ecomy will mostly be driven by technology.Smart technology ndio habar ya mjini sio ardhi kubwa!!Uchumi wa ardhi ulishapitwa na wakati.Utajiri wa dunia umeshikwa na watu ambao hawana hat heka 1000 za ardhi.Wafrika tunawaza kama watu wa miaka ya 1800 wa ulaya.Wakati wewe unabogua watu wa Etheopia wazungu na wachina wanaingiza robots mtaani zifanye kazi ya binadamu .Waafrika tuache kuwaza ujinga, hebu tuwaze jinsi dunia inavyoenda.
Mipaka ya wazungu ni ya kilafi na uchoyo,eti umnyime ardhi muafrika mwenzako kisa mipaka, wakati mzungu mchina anaingia na kujitwalia hio ardhi anachimba madini atakavyo ila mweusi mwenzio hapana, tuache ufala!!
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,851
2,000
Swali: Je, nini kitabadilika Ethiopia ikijiunga EAC?
- Nchi zitamezwa na nguvu na ushawishi wa Ethiopia, kumbuka Ethiopia siyo dhaifu kama DRC.
- Ikiwa na population ya watu 87's million
- Largest city Adis Ababa
Hivyo kufanya uegemeo wa EAC kwa Ethiopia. Sawa tu na impact ya Turkey kuingia EU

Mkuu population ya Ethiopia ni mIlioni 120 kwasasa.

Wanatatizo kubwa sana la ajira, kama wataingia EAC tutegemee influx ya wahabeshi kubwa sana kwenye nchi zetu. Mbaya zaidi hawa jamaa wamesoma sana na wengi hawana kazi rasmi, hivyo competetion ya ajira itakuwa kubwa kupita kiasi. Pia kufanyabiashara na nchi yenye closed economy ni ngumu sana, Ethiopia mashirika ya serikali ndiyo yanatoa huduma karibia zote, private sector inapumulia mashine hivyo tusitegemee kupata fursa za kibiashara kwenye nchi hii.

Kuhusu ubaguzi na kujiona wao sio waafrika hilo lipo ingawa sio kwa kiasi kikubwa, nimewahi kuishi na wahabeshi nje ya nchi kwakweli jamaa ni wapole sana na wanapenda sana urafiki na yeyote. Hadi dada zao kibao tu wameolewa na wabantu.
 
Wayo

Senior Member
Aug 18, 2017
148
250
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.China ina watu zaidi ya bilioni moja lakini wanauaga umasikini huku tunawaona with "naked eye" Kuhofia umoja ni kama kuohofa jini.
The next ecomy will mostly be driven by technology.Smart technology ndio habar ya mjini sio ardhi kubwa!!Uchumi wa ardhi ulishapitwa na wakati.Utajiri wa dunia umeshikwa na watu ambao hawana hat heka 1000 za ardhi.Wafrika tunawaza kama watu wa miaka ya 1800 wa ulaya.Wakati wewe unabogua watu wa Etheopia wazungu na wachina wanaingiza robots mtaani zifanye kazi ya binadamu .Waafrika tuache kuwaza ujinga, hebu tuwaze jinsi dunia inavyoenda.
Mipaka ya wazungu ni ya kilafi na uchoyo,eti umnyime ardhi muafrika mwenzako kisa mipaka, wakati mzungu mchina anaingia na kujitwalia hio ardhi anachimba madini atakavyo ila mweusi mwenzio hapana, tuache ufala!!
Kwaiyo mkuu watu watakula technology?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom