Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

Mbona ndo yuko na hiyo siku zote
Hiyo ndio anayotumia namba 1. Ila LC 300 inamuonekano huu
1606068439628.png

1606068497365.png
1606068516018.png
 
Kuna series nyingi za Toyota land cruiser kuanzia f20, f30, f60, f70, f80, f90, f100 na F200. Katika matoleo yote f70 ndio toleo la Land cruiser limedumu kwenye uzalishaji mpaka leo na lina maisha bado. Kikubwa pamoja na kubadilika kwa technology ya transmission wao huwa hawana Automatic ni manual transmission tu.
F70 ni ipi mkuu kapicha basi
 
Mkuu umeanza uongo mbona hiyo ya kwanza haifanani kabisa na cruiser za jiwe ila hii hapa chini ndio inafanana nazo.Ukibisha nitamuita jiwe mwenyewe atusaidie ni aina ipi anatembeleaga
View attachment 1643960
Hiyo ya kwanza ni toleo jipya LC300 haijawa modified kama ya Jiwe, kuingia sokoni ni 2021/ 2022. Hiyo ya jiwe ni LC200 ipo modified kwa 50 cm na mafundi ni hawa https://caratduchatelet.com/en/port...er-200-vx-extended-by-50-cm-with-parade-roof/ huo ndio utofauti boss.
 
Back
Top Bottom