Nini ufanye unapogundua housegirl ana mimba ya mumeo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,622
154,972
House girl wako ana mimba, umeamua kumrudisha kwao, kagoma kuondoka anadai mimba ni ya mumeo.
Umembana mumeo, anakwambia mwache huyu binti ajifungulie hapa kwani mimi ndie ninahusika na mzigo huu.
 
Patachimbika, atatoka yeye na hicho kinyangarika chake
House girl wako ana mimba, umeamua kumrudisha kwao, kagoma kuondoka anadai mimba ni ya mumeo.
Umembana mumeo, anakwambia mwache huyu binti ajifungulie hapa kwani mimi ndie ninahusika na mzigo huu.
 
Mkuu Bujibuji hapa kama kweli kama dume unahusika huwezi kuwa jasiri kiasi hicho,labda kama umeamua kuivunja hiyo ndoa yako ya awali ili ubaki na HG,lakini kiukweli lazima pachimbike humo ndani na usipokuwa makono mtu ananyweshwa sumu.
 
Mungu anistiri lakini kwetu sijafukuzwa kwetu ake na huyo na mie mungu atanipa wangu wakulishana nae Zabibu..
 
House girl wako ana mimba, umeamua kumrudisha kwao, kagoma kuondoka anadai mimba ni ya mumeo.
Umembana mumeo, anakwambia mwache huyu binti ajifungulie hapa kwani mimi ndie ninahusika na mzigo huu.
Bujibuji vipi wewe? kwani mumeo kampa house girl mimba? Lol!
 
Last edited by a moderator:
House girl wako ana mimba, umeamua kumrudisha kwao, kagoma kuondoka anadai mimba ni ya mumeo.
Umembana mumeo, anakwambia mwache huyu binti ajifungulie hapa kwani mimi ndie ninahusika na mzigo huu.

Mwanaume mwenye guts za kukuri kabisaa kuwa yeye ndo kam-mimbisha house girls si mwanaume halisi, Ivi ule uzi wa Mtambuzi wa sifa za mwanaume si mliuona?Kamwe mwanaume hawezi kiri hiyo dhambi mbele ya mkewe. Kwa hiyo, huyo SIO MWANAUME, BALI NI WAKIUME.
 
usiombee mtu akuchuke, pia siku hizi kuna madawa ya kupumbaza wanaume.
Mahausigeli wengi wa Singida ni wavunja ndoa za watu.
Mwanaume mwenye guts za kukuri kabisaa kuwa yeye ndo kam-mimbisha house girls si mwanaume halisi, Ivi ule uzi wa Mtambuzi wa sifa za mwanaume si mliuona?Kamwe mwanaume hawezi kiri hiyo dhambi mbele ya mkewe. Kwa hiyo, huyo SIO MWANAUME, BALI NI WAKIUME.
 
Wanawake kweli dhaifu unakimbia nyumba uliyo ipigania unamwachia hausi geli kweli?

Apana mie HG sio hadhi yangu kugombananae wacha HG hata angekua changu wa barabarani,yeye katongonzwa kakubali
mume ndio mwenye tabia chafu sasa mtu kama huyo unakaa nae wanini maisha yenyewe haya kisa chakuwacha wanangu,aende tena hata nyuma asigeuke...
 
unasema hayo kwakuwa unajua Bujibuji a.k.a mfariji yupo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom