Huwezi kumu attack mtu kwa kisingizio cha kua eti unafanya utani, ni mjinga tu ndiye atakaye kuamini, jana umemshambulia mtu eti leo unaleta ushauri, huo ushauri ufuate wewe kwanza mlamba viatu vya mshana.Sikumkejeli Wala sikumshambulia, Mimi Niko crack joke, nilisema meli inatoka DSM inaenda Mwanza, jamaa akajaa upepo kuwa naharibu uzi wake, lakini tayari wakati nafanya utani huo, tayari solution ya tatizo lake ilikuwa imeshapatikana na Hadi Mshana Jr alisema angemtafutia namba ya dalali.
We jamaa nikiboko tena wamajiniSikumkejeli Wala sikumshambulia, Mimi Niko crack joke, nilisema meli inatoka DSM inaenda Mwanza, jamaa akajaa upepo kuwa naharibu uzi wake, lakini tayari wakati nafanya utani huo, tayari solution ya tatizo lake ilikuwa imeshapatikana na Hadi Mshana Jr alisema angemtafutia namba ya dalali.
Humu jukwaani ukija, tambua kabisa kuwa umeingia kwenye ulimwengu wa mazingaombwe, unachokiona hakiko hivyo kilivyo.We jamaa nikiboko tena wamajini
Unakuwaga na comment za kichokozi sana
Huu uzi sikutegemea kama ungeuleta.
ujumbe mzuri haya majukwaa ukichukulia kila kitu serios utapata sonona bure😂😂
Much respect to youMtu Kama Mshana Jr, anaitwa majina mabaya, anasemwa mchawi etc lakini humuoni akikasirika Wala kuhamaki kwenye majibu Yake.
Jr
Endelea tu kua na akili za kushikiwa na huyo mwenye mada za kufikirika na kishirikina, Dunia ilishatoka kwenye huo ujinga, hizi ni zama za Science na technology.Aisee... Silambi viatu vya Mshana Jr, navitafuna kabisa, ni vitamu mno...
Karibu tule
Ila wewe Paskali ong'wise kajinga sana huwa nakuona una-like hata kwenye ushuzi anaotoa Bia Yetu humu ndani! Kumbe ndiyo siri yenyewe hii? Najua hata hapa uta-like!!kitu cha kwanza ni kummwagia thanks thread starter hata kama ameposti utumbo!.
Bujibuji is your business. Ulipoambiwa mind your business then you turned your neck to Bujibuji.Eti hamna mtu amefundisha humu zaidi ya mshana! umekariri coz huo mshana kakushikia akili zako,nenda majukwaa mengine hasa ya tech ukaona watu wanatoa elimu ya maana kuliko huyu mungu mtu wako anayeleta mada za kufikirika za mambo ya kichawi na kishirikina.
Kwani una undugu na Pascal MayallaBujibuji, Mtu Kama Mshana Jr, anaitwa majina mabaya, anasemwa mchawi etc lakini humuoni akikasirika Wala kuhamaki kwenye majibu Yake.
Jr