Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,796
2,000
Sikumkejeli Wala sikumshambulia, Mimi Niko crack joke, nilisema meli inatoka DSM inaenda Mwanza, jamaa akajaa upepo kuwa naharibu uzi wake, lakini tayari wakati nafanya utani huo, tayari solution ya tatizo lake ilikuwa imeshapatikana na Hadi Mshana Jr alisema angemtafutia namba ya dalali.
Huwezi kumu attack mtu kwa kisingizio cha kua eti unafanya utani, ni mjinga tu ndiye atakaye kuamini, jana umemshambulia mtu eti leo unaleta ushauri, huo ushauri ufuate wewe kwanza mlamba viatu vya mshana.
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,784
2,000
Just be you.

Don't pretend to be someone you are not. That way you can always stand up for yourself.

Try as much as you can to be respectful and know your limits. You can make someone's day better...or worse.

Please do not be a troll or bully others. Because when it's your turn, you will deeply regret your actions.
 

VON BISMACK

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
1,191
2,000
Sikumkejeli Wala sikumshambulia, Mimi Niko crack joke, nilisema meli inatoka DSM inaenda Mwanza, jamaa akajaa upepo kuwa naharibu uzi wake, lakini tayari wakati nafanya utani huo, tayari solution ya tatizo lake ilikuwa imeshapatikana na Hadi Mshana Jr alisema angemtafutia namba ya dalali.
We jamaa nikiboko tena wamajini
Unakuwaga na comment za kichokozi sana
Huu uzi sikutegemea kama ungeuleta.
Ujumbe mzuri haya majukwaa ukichukulia kila kitu Serious tapata sonona bure😂😂
 

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
18,589
2,000
Kama tunatumia ID fake kuficha uhusika wetu halisi, basi tunaweza ku fake kua sio kila kitu tunachokiandika humu kipo real.
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,726
2,000
Eti hamna mtu amefundisha humu zaidi ya mshana! umekariri coz huo mshana kakushikia akili zako,nenda majukwaa mengine hasa ya tech ukaona watu wanatoa elimu ya maana kuliko huyu mungu mtu wako anayeleta mada za kufikirika za mambo ya kichawi na kishirikina.
Bujibuji is your business. Ulipoambiwa mind your business then you turned your neck to Bujibuji.
Good
 

parts

JF-Expert Member
Mar 31, 2018
2,050
2,000
Ila pale jukwaa la siasa panahitaji moyo, watu wamejitoa ufahamu aisee, wengine bila kuwa ignore mtagombana tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom