Nini ubora wa matairi haya?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wakuu, nimenunua matairi ya Good Year, ya South Africa, kilichonishangaza ni hiyo promotion...ukinunua matatu wanakupa moja bure...je kuna mwenye uzoefu wa kutumia matairi haya? Wanadai kama najaza upepo vizuri nitatembelea hadi kilomita 60,000 je hili sio changa la macho?
 
Wakuu, nimenunua
matairi ya Good Year, ya South Africa, kilichonishangaza ni hiyo
promotion...ukinunua matatu wanakupa moja bure...je kuna mwenye uzoefu
wa kutumia matairi haya? Wanadai kama najaza upepo vizuri nitatembelea
hadi kilomita 60,000 je hili sio changa la macho?

mkuu hayo yako poa sana tu....mi nayaaminia hayo na Dunlop, nikifunga hayo kwetu Same Viliman shwaaari.
 
Wakuu, nimenunua matairi ya Good Year, ya South Africa, kilichonishangaza ni hiyo promotion...ukinunua matatu wanakupa moja bure...je kuna mwenye uzoefu wa kutumia matairi haya? Wanadai kama najaza upepo vizuri nitatembelea hadi kilomita 60,000 je hili sio changa la macho?
Goodyear is a good brand. Much better than the chinese-made tyres!
 
yako poa,ila kama unatumia gari ambayo iko juu(hasa SUV),jaribui za BF GOODRICH,ni mazuri zaidi utasahau kabisa matatizo ya matairi,japo niexpensive
 
Back
Top Bottom