Elections 2010 Nini tofauti ya utawala wa CCM, na utawala wa Rais Mugabe?

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ
na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
 
Tofauti ni kwamba. Mugambe anajionyesha wazi wazi kuwa yeye ni dictator na ni mroho wa madaraka.
Ila wa kwetu hajionyeshi wazi wazi ila wenye akili wanajionea.
 
Tofauti ni kwamba. Mugambe anajionyesha wazi wazi kuwa yeye ni dictator na ni mroho wa madaraka.
Ila wa kwetu hajionyeshi wazi wazi ila wenye akili wanajionea.

asante mkuu, kwa hiyo malengo yao ni sawa sawa ila mmoja kwa siri na mwingine kweupe
 
Tofauti si marais bali wananchi ukichukulia suala zima la mwamko na upatikanaji wa taarifa na ujinga (ujinga si tusi).
 
Naomba kuuliza ,makamba anatoa form za spika kama nani? kwani hilo swala ni lakichama tena au ndio matatizo ya katiba yenyewe hayo.

Tatizo ni kuwa Makamba bado ana mawazo kuwa kila nafasi ni lazima chama kitoe baraka. Katika haijatoa maelezo kuwa mgombea uspika ni lazima awe mwanachama wa chama chochote, bali ni mtanzania yeyote yule. Lengo lake ni kumbania SS asirudi baada ya kuliweka bunge transparent kwa kiasi. Yaani kwa lugha nyingine Makamba ni agent wa mashetani(mafisadi). Anataka kutengeneza mazingira ya kuli-control bunge na kusahau kuwa wananchi ndiyo wachaguzi. Wabunge watakaoweza kuwa-control ni wale wa chakachua tu. Maana hao kama ilivyo kwa rais wa Zanzibar ni rahisi kuwaita na kuwaambia kuwa tumekuweka hapo sasa sikiliza tunayotaka.
 
You know, I've been wondering something similar lately.

What's the difference between CCM and the National Socialist German Workers' Party?
 
Mugabe is able to challenge what comes from America and US but Kikwete NO he cant,,,,
 
We nawe basi heading ingekuwa nini tofauti ya utawala wa JK vs Mugabe na sio kusema CCM na utawala wa Mugabe?
To naona kuna similarities nyingi tuu hasa katika suala la ubakaji wa democrasia
 
jk omba omba saanaa ktk nchi za wazung wakati mugabe anakufa na kitanzi shingoni
sidhani kama mugabe anakumbatia mafisadi ktk himay yake kama jk etc etc
mugabe ni ni dictator all the time(usiku na mchan)while jk yy ni siku tuuuu ,mchana ni mtu mwema mpenda watu esp wazee,watoto etc
 
Tatizo la robot mbabe,ni dictetor tu,lakini pia kasahau kuwa ana muda mfupi wa kuishi duniani,nyerere mwenye alisarenda na kuachia gazi kala hayajamkuta, jk ni mwanademocrasia wakuigwa africa,japokua sisi sote ni binadamu na tunamapungufu yetu kama binadamu.
 
Wako sawa sawa, heri Mugabe anagombana na wazungu kwa upande mmoja, bali CCM inagombana na wananchi wake pekee
 
We nawe basi heading ingekuwa nini tofauti ya utawala wa JK vs Mugabe na sio kusema CCM na utawala wa Mugabe?
To naona kuna similarities nyingi tuu hasa katika suala la ubakaji wa democrasia

nafikiri umeelewa lakini nini kinahitajika hapo,, hahaa haaa haaa ndiyo mawazo yangu si yako wala yako si yangu
haya tuendelee, nashukuru kuongezea hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom