Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,399
- 320
Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ
na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ
na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
Naomba kuuliza ,makamba anatoa form za spika kama nani? kwani hilo swala ni lakichama tena au ndio matatizo ya katiba yenyewe hayo.
Tofauti ni geographical location tu
Tofauti ni kwamba. Mugambe anajionyesha wazi wazi kuwa yeye ni dictator na ni mroho wa madaraka.
Ila wa kwetu hajionyeshi wazi wazi ila wenye akili wanajionea.
Naomba kuuliza ,makamba anatoa form za spika kama nani? kwani hilo swala ni lakichama tena au ndio matatizo ya katiba yenyewe hayo.
wote ni wezi wa kura!Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ
na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
Naomba kuelimishwa hapa!jk ni mwanademocrasia wakuigwa africa
wote ni wezi wa kura!
We nawe basi heading ingekuwa nini tofauti ya utawala wa JK vs Mugabe na sio kusema CCM na utawala wa Mugabe?
To naona kuna similarities nyingi tuu hasa katika suala la ubakaji wa democrasia