Nini tofauti ya sentensi hizi kimaudhu?

T - Mobile

Member
Sep 15, 2021
12
9
Nini TOFAuti ya sentensi hizi kimaudhui:

👉....... ATAKUFA PEKEYAKE

VS

👉..... ATAKUFA na WENGI

TUJIFUNZE MAISHA YA KUNYOSHA MTU KIDOLE YANAPOISHIA (UWEKEZAJI WA KISWAHILI)

KWELI MZUNGU, MCHINA, MJERUMANI WALILALAMIKA KWA MWAFRIRIKA (ROBOT).... R.I.P vikosi maalumu kwa kutafuta saikojia ambayo haiji kutumika kwa sababu ya KICHAA... MWANAMKE PISI KALI ANAMILIKI BILION 6,676,189 KWENYE BANKI AKAUNTI
 
Atakufa peke yake kama atajipiga risasi mwenyewe (kosa la kujiua).

Ila
Atakufa na wengi kama atajilipua na bomu katikati ya halaiki ya watu (kitendo cha ugaidi).
 
Nini TOFAuti ya sentensi hizi kimaudhui:

....... ATAKUFA PEKEYAKE

VS

..... ATAKUFA na WENGI

TUJIFUNZE MAISHA YA KUNYOSHA MTU KIDOLE YANAPOISHIA (UWEKEZAJI WA KISWAHILI)

KWELI MZUNGU, MCHINA, MJERUMANI WALILALAMIKA KWA MWAFRIRIKA (ROBOT).... R.I.P vikosi maalumu kwa kutafuta saikojia ambayo haiji kutumika kwa sababu ya KICHAA... MWANAMKE PISI KALI ANAMILIKI BILION 6,676,189 KWENYE BANKI AKAUNTI
Atakufa peke yake.
Mtu mwenye tabia au mambo zinazowakwaza wengine, hadi kupeleka uwezekano wa kutengwa na jamii.

Atakufa na wengi.
Athari mbaya za matendo au kitendo cha mtu mmoja akiwahusisha wengine.
 
aliielewa hizo maneno za chini zilizowekwa Bold ataniambia sijaelewa kilichoandikwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom