Nini tofauti ya mashoga na watumiaji kinyume cha maumbile? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tofauti ya mashoga na watumiaji kinyume cha maumbile?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Candid Scope, Jun 23, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nimewahi kufanya kazi na Lesbians, niliwapenda sana kufanya kazi nao, kwani wako motivated kiutendaji kama wanaume, na wanajitahidi kuwa na tabia kama za kiume na papo wako very strictly mambo ya mahusiano, usiwaguse kwani utaumbuka kama si kushtakiwa udhalilishaji. Kwa mtazamo wangu pamoja na mambo yao, lakini mbele ya jamii wanajiheshimu vizuri sana na ustaarabu wao ni mzuri kuliko wasichana wa kawaida wanaotaka kujirembua na kujipitisha na pia kuweka mitego mbalimbali kuwavutia wanaume.

  Wanaume wengi walio mashoga wenye kuonyesha uwazi ni wale wa daraja la chini, lakini wa daraja la kati na juu wana tabia hiyo hiyo, hawapendi kuwasumbua wanawake, hawataki kuguswa na wanawake na ni wachapa kazi sana.

  Kuna tofauti gani kati ya hawa gays/lesbians na hawa wanaoendekeza ngono kinyume cha maumbile?
  Kuna sababu gani kuwachukia lesbians/gays wakati hawa watumiaji wa ngono kinyume cha maumbile hawakemewi wanaachwa wakipeta kama ndo halali yao? Hapa naona wazi kuna kasoro kubwa.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jambo lipi bora kama wachezaji waruke ukuta kwenda nje au kubaki kambini? Najua fika mahusiano ya ngono huathiri wachezaji, kwani mchezaji akifanya ngono once ni sawa kama amekimbia KM 7. Kilichotakiwa si kuwafukuza bali kuwapa elimu itakayowasaidia kujisahihisha. Kufukusa si suluhisho, vinginevyo kama waliwapa maelekezo jinsi ya kujiepusha na michezo hiyo na athari zake kwa timu. La sivyo ni makosa kwani binadamu huwa anajisahihisha
   
 4. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu jamii yetu kamwe kamwe hairuhusu mambo haya na ndio maana wanayapinga vibaya sana kwa wenzetu wamehalalisha na usemayo hayo kweli gays/lesbian daraja la kati na juu hujiheshimu na wala hawajionyeshi ovyo ovyo maana wanajijua wao ni wa kina nani. ila kamwe Tanzania mambo haya hawajaruhusu na ukianza kuwatetea ndio mtu wa kwanza kukunyooshea mkono. ingawa huko maofisini yapo sana na wanafanya kwa siri sana na walio daraja la chini nao wapo wanajiuza kama kawa. ila tusitetee haya mambo jamani ni aibu kwetu lol
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Asante kwa mwono wako mpana. Mimi binafsi sina sababu ya kutetea, na niko kinyume kabisa cha mambo haya. Naheshimu mpango wa Mungu alivyotuandalia maungo yetu kila kiungo na kazi yake maalum.
  • Iweje mdomo wa kupitishia chakula kwa ajili ya kuendeleza uhai wetu utumike kwa blow job za mapenzi?
  • Iweje sehemu ya kiungo cha kutolea mavi itumike kwa kujamihiana?
  Pamoja na lesbians/gays kufanya mambo kinyume cha mpango wa Mungu wa kutushirikisha uumbaji wake, kwa nini jamii imekaa kimya kukemea tabia ambazo wanandoa, na marafiki kufanya mambo hayo hayo ambayo hufanywa na hawa lesbians/gays?

  Ninachoshangaa mambo hayo siku hizi yako hadharani kabisa na picha kuanikwa wazi kabisa. Mfano tembelea jukwaa la wakubwa, na hakuna anayekemea hayo, wenye akili fupi wanaona kama ni halali kufanya hivyo, je tunakwenda wapi? Ni nini tofauti ya wasagaji na hawa wanaoanika picha na mafunzo ya kufanya ngono kinyume cha maumbile?  "Action Speaks Louder Than Words"
   
 6. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni maisha yao binafsi ndio maana wanafanya kwa Siri. Hata ngono ya mke na mme ni siri yao, haituhusu. Hata mme na mke wakilana Tigo or anything, ni uamuzi wao, kama hao gays la lesbian. Misimamo yetu ya kupinga or kutokupenda hayo ya kinyume cha maumbile, tusishinikize kwa wengine. Ni maisha yao waliochagua wao. Kama ni dhambi, Mungu ndio wakuwahukumu. Ila kama ni hukumu, ewe mzinzi unayevunja amri ya sita utakutana nao jehanam kwenye moto wa degree sawa.
  In the meantime, it is their civil liberty!
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yes! ni maisha yao na mambo yao ya siri. Wafanyapo wao binafsi huko sirini kusikoonwa na wengine ni siri yao. Lakini je, mafunzo na picha ziwekavyo hadharani kufunza mfumo wa ngono kinyume cha maumbile bila kunyooshewa kidole imekaaje? Ninachoongelea mie ni yale ambayo siku hizi yamehalalishwa hata mitandao ya kijamii kuwekwa hadharani na kufunza wengine hadharani inatoa taswira gani kwa jamii yetu yenye utamaduni kinyume cha mambo hayo?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ntarudi asubuhi, sasa hivi konyagi ziko hadi maskioni.
   
 9. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi naona ni haohao hakuna tofauti,jamii imebadilika sana ukitaka kujua pita kwenye mitandao huko,wanawake kwa wanaume wanataka kuingiliwa kinyume wanatoa hadi contact,kifupi ni kwamba tunaishi nyakati za mwisho.
   
 10. c

  chilubi JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,033
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Mfanyaji na mfanyiwa ni MASHOGA, mwanaume yoyote yule anaekula Tigo ni SHOGA!
   
 11. mito

  mito JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,616
  Likes Received: 1,994
  Trophy Points: 280
  Mi huwa najiuliza kwa mwanaume ambaye si riziki, halafu akaamua kuwa analiwa tigo (wenyewe wanaita ******), huyu tunamjadilije?
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Uko sahihi dada, maana kinachofanyika ni kile kile, lakini hawa lesbians/gays ambao wanajipambanua kwa uwazi tunawakemea kwa ukali sana, lakini hawa wengine wanaoonyesha na kufunza videndo hivyo kwenye mitandao mbalimbali hatuwanyooshei vidole wala kuwakemea wakati wanachofanya ni kile kile.

  Masuala ya kuelimishana mbinu na kupeana mawaidha kuhusu mapenzi ni jambo zuri kwa vile wapo wengi wasio na ujuzi wala namna ya kuishi na wake au waume zao. Lakini wanapopitiliza kushauri, kufunza na kuhamasisha ngono kinyume cha maumbile naona tunaipeleka jamii kubaya.

  Hapa JF mtu akileta mada ambayo haina maudhui mazuri kwa jamii inaondolewa mara moja na pengine hata kufungiwa, lakini jukwaa la wakubwa wanaleta picha na mambo ambayo ni aibu kuyatamka yafanywayo na mashoga na wasagaji lakini Uongozi wa JF na moderators hawachukua hatua yo yote, hapa inabidi Invisible kuwa na mtazamo mpana.

   
 13. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ee Mungu wangu nakuomba uniepushie janga hili, nisije nikala tigo ya kike wala ya kiume, natamani mbinguni kuliko maisha haya ya duniani, niepushe na sodoma na gomora za nyakati hizi za mwisho, maana mwili hutamani ukishindana na Roho, raha ya milele unipe Ee Bwana na mwanga wa milele uniangazie nipumzike kwa Amani.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mie swali langu kama lako ila in a different angle. Mwanaume anaetumia mtandao wa kuruka ukuta na mwanamke, nae aitwe gay!

  Nawaamkua all gays in here...
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mpira unaochezwa ni ule ule ambao simba ikicheza hawanyooshewi kidole, lakini mchezo huo ikicheza Azam watashushuliwa.
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  This is good one, umewashika pabaya.
  Kuna basha na ms.enge wake, wanaume wengi hupenda kujisifia ubasha (ufi.raji) kuliko ufiruaji.Sijui kwenye gay relationship, huwa wanabadilishana roles? Yaani kila mtu anamwingilia mwenzie?
  Lkn kwenye man/woman relationship, mume haingiliwi kwenye kishimo chake cha solid waste; hivyo sidhani kama anajiona gay. Ila ninahisi akikutana na ms.enge anaweza kula mzigo.

  I real hope watakuja kutupa mwanga; Boflo we need ur views here!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna dhana ambayo imejengeka katika mawazo ya mwanadamu, ya kuwa kutiW@ ni kitendo cha kudharaulika, embu angalia matusi yote katika dunia hii katika tamaduni zote matusi yote hupewa Mtiw@.
  Sasa swala la kufanya mapenzi kunyume na maumbile nalo kwa kiasi kukubwa linaangalia mtiw@ ni nani, na ndio huyo jamii inamcondemn, sasa ikiwa mwanamke ndie anafanyiwaa kinyume na maumbile basi watu huona ni kawaida kwakuwa eti yeye ni mtiW@, ambaye watu wamezoea, ila sasa akibadilika mtiW@ ndio kosa, hata hao, lesbian, yule anayeti@ watu huonekana shujaa., Katika hili la mashoga basha ni mti@, yeye huonekana shujaa, ila sasa ms3ng3, yeye ni mtiwQ, basi watu huona ni kosa.
   
 18. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  :A S tongue:
  [​IMG] [​IMG][​IMG]
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hivi mwanaume anayekula tigo ya mwanamke na anayekula tigi ya mwanaume wamatofauti gani???? Wote si mashoga/mabasha????
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Labda huyo mwanamke awe na filimbi na kengele mbili kaning'iniza vinginevyo ni tofauti kubwa sana.
   
Loading...