tofauti ya hazina na bot ndio panapochanganya sanaZote ni idara tofauti chini ya wizara ya fedha.
Chukulia una nyumba yako (wizara), una master bedroom, una living room, una guest room, una storage room, una bath room.
Vyote hivyo ni vyumba ndani ya nyumba yako lakini kila kimoja kina shughuli tofauti na bila uwepo wa hiyo nyumba havitakuwepo na nyumba bila kuwa na vyumba hivyo inakuwa haijakamilika.
Mengine ni ukiritimba tu hata nje si unaishi tu?
Fikiri.
Uko sawa kabisa wengine wanajikanyaga tuu1)TRA kazi yake kuu ni kukusanya kodi na tayari kodi ikishakusanywa hupelekwa hazina
2)Hazina ni kama mfuko unaotunza fedha zilizokusanywa kutoka kwenye vyanzo vya mapato mbali mbali ya nchi ambapo baadae fedha hizo hupangiwa matumizi
3)BOT ni benki ya nchi kazi yake ni kutunza fedha za nchi , ku regulate uchumi wa nchi na kusimamia benki zote zinazofanya kazi ndani ya nchi
4)Wizara ya fedha ni Wizara inayo manage mambo yote ya kifedha ya nchi ikiwa ni pamoja na kupeleka fedha kwenye Wizara nyingine
BOT , TRA na HAZINA zote zipo chini ya Wizara ya fedha