Nini tofauti ya harrier ta-acu15w na acu15w? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tofauti ya harrier ta-acu15w na acu15w?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGAUTI, Jan 25, 2011.

 1. N

  NGAUTI Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Wana JF
  Humu ndani naamini kuna wataalam wa magari.
  naomba msaada wa kujua tofauti kati ya model mbili za Toyota Harrier
  kuna model code TA-ACU15W na ACU15W.
  Nini tofauti zake na ipi ni bora zaidi?
  shukrani
   
 2. B

  Breacher Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni mtaalam wa harrier Jet fighter. ni ndege ya kisasa ya kivita ambayo haihitaji run way ku take off. ina nyanyuka kama helcopter then ina change system na kuwa na power kama supper fighet jet zingine kama H35
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Du!!! walimu kwa kweli wanakazi ngumu sana. Maana unakuta umeuliza swali lakini mwanafunzi anatunga la kwake na anakuwa amelijibu kwa usahihi kabisa.
   
Loading...