Nini tofauti ya HAKIMU na JAJI ikiwa yote yana maana moja?

Bado najiuliza hapa Tanzania kuna cheo cha HAKIMU na pia kuna cheo cha JAJI, sasa neno Jaji tumetoa kutoka neno la kiingereza JUDGE lenye maana ya HAKIMU katika lugha ya kiswahili. Je, kuna haja ya kutafuta neno mbadala?
Laana za chadema zitakutesa mpaka pumzi ya mwisho ..tamaa zako zitakuponza mpaka utakapojuwa kuwa laana hipo
 
Jaji yupo juu ya Hakimu.

Jaji hukuwepo mahakama kuu
Hakimu hukuwepo mahakama za wilaya.
Jaji anao uwezo wa kupinga uamuzi wa Hakimu lakini Hakimu hana uwezo wa kupinga uamuzi wa Jaji.

Karibu jukwaa kaka Deo Kisandu najua una Hater's but 2me u r my motivator.
 
Bro kama bado sijakusoma,
Jaji na Hakimu haya majina yamekaaje??
 
Bado najiuliza hapa Tanzania kuna cheo cha HAKIMU na pia kuna cheo cha JAJI, sasa neno Jaji tumetoa kutoka neno la kiingereza JUDGE lenye maana ya HAKIMU katika lugha ya kiswahili. Je, kuna haja ya kutafuta neno mbadala?
Naomba jibu kama ulilipata
 
Back
Top Bottom