mkuu history naona imelala hapo kichwaniFreedom = Uhuru. Independence = uhuru wa nchi kujiamlia mambo yake yenyewe pasipo kutegemea au kuamriwa na nchi au chombo kingine nje ya nchi.
Sasa hiyo application ya Tz kama ulivyoomba kwenye swali lako haiwezi kufanyika kwa umoja au ujumla. Freedom mara zote ina apply at individual/institution level kwa maana kwamba watu au taasisi wako huru ndani ya nchi ambayo sio lazima iwe na uhuru wa kufanya mambo yake pasipo interference ya chombo au nchi nyingine.
Hyo haihitaji historia. Ni kingereza cha kawaida. Hta ukikamata Oxford Dictionary inakujibia hilo swali vizur tu.mkuu history naona imelala hapo kichwani
ndio lakini mi nimeegemea upande huoHyo haihitaji historia. Ni kingereza cha kawaida. Hta ukikamata Oxford Dictionary inakujibia hilo swali vizur tu.