AminaBwana Yesu Asifiwe
Tumsifu Yesu Kristo
Mwanakondoo Ameshinda
Kristo Tumaini Letu
Sijui amekuelewa!!Ni sawa tu na kuutazama mti kutokea upande wa mashariki halafu ukautazama tena mti uleule kutokea upande wa kaskazini, magharibi na hata kusini
Ni Yale Kumpatia Utukufu Heshma Mamlaka Mungu Wetu Daima Na Milele Yote ✍Nataka kujua tofauti kwani maneno ni yale yale ya Kumsifu, sema yamegeuzwa tu.
Amen Man Of GodAmina
Milele amina
Tumfuate
Sijui kama umeelewa hoja naona unatumia nguvu nyingi kuelimisha...swali ni kwanini salumu hizo zinafanana maana lakini utamshi ni tofautiSentensi ya kwanza "Tumsifu Yesu Kristo" imeanza na prediketa "Tumsifu"
WAKATI
Sentensi ya pili "Bwana asifiwe" imeanza na shamirisho "Bwana"
Hivyo utofauti upo kwenye sintanksia yaani mpangilio wa maneno katika sentensi lakini katika semantiki maana ni ile ile kwa sababu wahusika ni mtu yuleyule na hata tendo ni lilelile.
Roman Catholic is the big dick in the world, they wanted their own thing!Sasa kama maneno ni yale yale kuna haja gani kuyasema mara mbili mbili?
Ukisoma vizuri ulichoandika..utaona kwamba,salamu ya 'Bwana Asifiwe' haisemi neno 'Kristu/Kristo'...yaani haijamtambua kama mpakwa mafuta.!Sioni kwa nini anaposimama Kiongozi, au Msemaji yeyote kwenye mkusanyiko kusalimu 'asalam aleykum' na tena aseme mara mbili 'Bwana asifiwe' na Tumsifu Yesu Kristo'
Ni maandishi tu lakini huwa mara nyingi inatamkwa "Bwana Yesu asifiwe"Ukisoma vizuri ulichoandika..utaona kwamba,salamu ya 'Bwana Asifiwe' haisemi neno 'Kristu/Kristo'...yaani haijamtambua kama mpakwa mafuta.!
Ila salamu ya 'Tumsifu Yesu Kristu' imemtambua kama mpakwa mafuta.
Maana ya 'Kristu' ni mpakwa mafuta..Mteule wa Mungu
Hata wewe sijui kama hoja umeielewa pia.Kichwa cha uzi kinasema "Nini tofauti kati ya TUMSIFU YESU KRISTO na BWANA AFIWE" ina maana anahitaji utofauti wa sentensi hizo na wewe umeongeza swali lingine la kwako ni "kwanini salumu hizo zinafanana maana lakini utamshi ni tofauti" hivyo nimemjibu mtoa mada na sio wewe pia ni vizuri ukaelewa maelezo ya mtu na sio kukurupuka tu kukosoa mtu sasa hapo wewe ndio umetumia nguvu nyingi kwenye kukosoa na sio kuelewa nilichokiandika.Sijui kama umeelewa hoja naona unatumia nguvu nyingi kuelimisha...swali ni kwanini salumu hizo zinafanana maana lakini utamshi ni tofauti