Nini tofauti kati ya Makamu wa rais, Naibu rais?

Kis
Hapa TZ naona ipo shida pahala, Makam wa Rais ; Kishondo chake hakifikii cha Waziri mkuu.Si kwa awamu hii pekee,awamu zote.
Ladda tutajua umuhimu zaidi siku Muumba akimpenda zaidi mkuu.
ondo ninini
 
Deputy president hata ukiangalia Kenya duties zake ni tofauti na vice president WA tz.. Deputy ana power nyingi zaidi..
 
Back
Top Bottom