Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Im sure siko peke yangu ambaye najiskia kuchanganyikiwa na kizunguzungu nikiingia kwenye maduka ya TV.Its so hard to decide what to buy. Kuna mtu aliniambia TV iliyoandikwa HD ready sio HD TV na mwingine aliniambia 'hizo ni lugha za masoko tu, ni kitu hicho hicho', mwingine akaniambia HD TV ni lugha inayotumika Marekani lakini in Europe wanatumia lugha ya HD Ready. Halafu LCD na PLASMA zinaonekana kuwa kama kitu kimoja lakini kwa nini wanatofautisha majina? High Def zina picture quality effect zikitumika bongo?
Kuna mtu ana experience na hivi vitu vyote?
Kuna mtu ana experience na hivi vitu vyote?