Nini Tofauti kati ya Grand Prix na Formula 1

Grand prix ni event
Formula 1 ni mashindano

Ukifaninisha na mpira unaweza kusema

Grand Prix = Mechi ya Man Utd vs Man City
Formula = England Premier League
 
Formula 1 haswa inahusisha mashindano ya magari kwa Kiswahili kingine wanayaita Langa Langa, yamekuwa design Kwa kukaa dreva mmoja na huwa yanafanyika kwenye viwanja vilivyo na bara bara maalum, ndo unakuta watu kma wakina Hamilton n.k. Grand Prix huwa inahusisha piki piki haswa zile za cc kubwa zaidi mfano ni Moto GP, hapo utawakuta mabingwa mara nyingi zaidi kma Valentino Rossi ambye ni Mtaliano, Lorenzo n.k Kwa ufupi ndo hivyo, mayo huwa yanafanyika kwenye pitch maalum.
 
Back
Top Bottom