Nini tofati kati ya Technician Certificate na Basic Technician Certificate in primary education?

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
264
105
Habari wana JF,

Samahani naomba kuelekezwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu.

Mimi nimechaguliwa kusomea Ualimu ngazi ya Technician Certificate in P.Education lakini kwenye chuo husika kozi iliyopo ni Basic Technician(Level 4) pamoja na Ordinary Diploma in Primary Education(Level 6).

Na je,duration ya kila kozi ni muda gani?

Shukrani
 
Technician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu....
 
ahaa!okay,nashukuru kwa kunielewesha mkuu
 
Habari wana JF,

Samahani naomba kuelekezwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu.

Mimi nimechaguliwa kusomea Ualimu ngazi ya Technician Certificate in P.Education lakini kwenye chuo husika kozi iliyopo ni Basic Technician(Level 4) pamoja na Ordinary Diploma in Primary Education(Level 6).

Na je,duration ya kila kozi ni muda gani?

Shukrani
Hapo kuna tatizo chuo hawaedit hizo taarifa zao sasa hivi hakuna diploma in primary education kuna certificate in primary na ipo chini ya necta
 
Ukisoma diploma mwaka mmoja ukafanya na mtihani ukafaulu ukataka kuishia hapo unapewa cheti kinaitwa technician certificate
 
Sasa mimi kwenye selection wameniambia nimechaguliwa kwenda kusomea "TECHNICIAN CERTIFICATE" Hapo nimeshindwa kuwaelewa,hiyo siyo Level 5?

Mimi sijasoma Level 4 nitaendaje huko?

Halafu wakati wa kuchagua waliandika "Astashahada" baada ya kukamilisha machaguo wakaweka "Ordinary Diploma",na baada ya kuchaguliwa wameweka "Technician Certificate"

hawasomeki kabisa!
 
Technician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu

Technician Certificate ni NTA Level 5.....kuna modules nying tu zinaongezeka kulingana na profession husika.....Basic technician ( Level 4) ni mwaka mmoja, Level 5 ambayo ni Technician Certificate, mwaka mmoja soo inakua miwili,Na Ordinary diploma..ni mwaka mmoja..so inakua mitatu....
Alafu kuna hii mfano Certificate in social work. Aijasema ni basic technician au technician yenyew. Hii tunaiweka kweny level gani NTA LEVEL 4/5 na kwanini zitambulike tofaut na izo zingine.
 
Diploma in primary education IPO chuo kikuu huria cha Tanzania na Taasisi ya elimu ya watu wazima Kwa in service
 
Back
Top Bottom