Nini Tatizo ya magari aina ya Opa

Uchawi wa kizungu huo mademu hawaruki,kitaa hata bajaji unang'oa tu sembuse OPA hata Diamond alianza na OPA sasa yupo kwenye Prado.
 
kama wewe ni Mzee wa Vipusa,ubaya wake ni kufilisika na kusahau familia yako,maana huo ni uchawi wa kizungu unatembea huku umekaa,uwe na Moyo wa kutoa lifti wakati wa asubuhi na jioni.
 
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.
 
Umetoka nje ya mada mkuu.
 
Well said.
 
Ubaya au uzuri wa gari inategemea unaangalia au unapenda kitu gani ktk gari
 
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

Off point. Sasa mbona hujatoa ushauri!!!
Ubaya wa Opa lina shape ya jeneza.
 
Mpeni ushauri sio kumnanga kama hujui just keep quite.Ila mimi kwa upande wangu naona ubaya kwenye shepu yake haina mvuto, ipo chini na inakula mafuta ukilinganisha na IST
 
mkuu mm nakupa ushauri kama fundi hiyo gari sio nzuri kibongo bongo ni pasua sana kama litakuwa na engine ya D4 lakini kama itakuwa na engine ya vvti haina shida mkuu maswala ya mwonekano na umbile lake ww mwenyewe unaufaham.

spea zingine kwa bongo hazisumbua kabisaaaa sababu zipo tele.

ila kama itakuwa na engine ya D4 plz mkuu usiguse kabisa lasivyo ukinunua ujiandae kubadilisha engine.
engine za D4 kibongo bongo ni pasua sababu tatizo lake kubwa ni miss ya mafuta aina hii ya engine huwa inakuwa na tatizo kubwa kwenye mfumo wa mafuta na hasa nozeli sababu hazitaki mafuta ya kuchakachua yanaziharibu kwea kujenga uchafu ndani pamoja na kuiharibu pump ya D4 hivyo kutwa utashinda gereji na asilimia 99 ya magali yanayopatikana bongo yaliyokuja na engine ya D4 watu washabadili engine hizo.

sasa ni bola unaponunua angalia kabisaa usiingie mkenge ndugu au kama ushanunua jiandae kubadili engine sababu zikianza kusumbua hakunaga tiba ni miss kwa kwenda mbele.
ila kama utapata opa yenye engine ambayo sio D4 ni poa sana.

nakutakia uchaguzi mwema na ukinunua D4 mafundi tupo mkuu tutakusaidia kuzipunguza pesa zako sio kukutengenezea gari .
 
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

watakuambia peleka jukwaa la malalamiko
 
Mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

Tatizo mleta thread nae hakuwa specific. Anataka ushauri wa nini? Hata wewe mwenyewe bado upo dilemman. Angalai hapo kwenye red!
 
Mpeni ushauri sio kumnanga kama hujui just keep quite.Ila mimi kwa upande wangu naona ubaya kwenye shepu yake haina mvuto, ipo chini na inakula mafuta ukilinganisha na IST

lazima ist na opa ziwe tofauti kwenye ulaji wa mafuta, ist cc1450 opa cc1990
uzuri wa opa ina space ya kutosha,iko comfortable,ina dash board mzuri yenye show murua,
ubaya wake body yake ni delicate sana, ni kopo la castle, uchumi kama unasumbua utashindwa kuhudumia wese, tatizo pia iko chini sana sio nzuri kwenye ruff road, kama ukienda nayo bush au kijijini jipange,ila kwa town poa, ina shepu ya jeneza, over
 
mkuu mm nakupa ushauri kama fundi hiyo gari sio nzuri kibongo bongo ni pasua sana kama litakuwa na engine ya D4 lakini kama itakuwa na engine ya vvti haina shida mkuu maswala ya mwonekano na umbile lake ww mwenyewe unaufaham.

spea zingine kwa bongo hazisumbua kabisaaaa sababu zipo tele.

ila kama itakuwa na engine ya D4 plz mkuu usiguse kabisa lasivyo ukinunua ujiandae kubadilisha engine.
engine za D4 kibongo bongo ni pasua sababu tatizo lake kubwa ni miss ya mafuta aina hii ya engine huwa inakuwa na tatizo kubwa kwenye mfumo wa mafuta na hasa nozeli sababu hazitaki mafuta ya kuchakachua yanaziharibu kwea kujenga uchafu ndani pamoja na kuiharibu pump ya D4 hivyo kutwa utashinda gereji na asilimia 99 ya magali yanayopatikana bongo yaliyokuja na engine ya D4 watu washabadili engine hizo.

sasa ni bola unaponunua angalia kabisaa usiingie mkenge ndugu au kama ushanunua jiandae kubadili engine sababu zikianza kusumbua hakunaga tiba ni miss kwa kwenda mbele.
ila kama utapata opa yenye engine ambayo sio D4 ni poa sana.

nakutakia uchaguzi mwema na ukinunua D4 mafundi tupo mkuu tutakusaidia kuzipunguza pesa zako sio kukutengenezea gari .

Asante sana mkuu kwa maelezo yako muhimu..hakika gari zenye engine ya D4 lazima tuwe makini
 
zipo za D4 na 3S ambayo ni injini sawa na rav4 old model
 
uzuri wake linarahisisha usafiri kama magari mengine....ubaya wake ujiandae na hela ya sanda kabisa na uweke akiba ya hela ya kukusafirisha ukianza kuumwa maana opa ni ugonjwa wa watoto wa chuo tena wale wazuri wazuri
 
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

Unachokiona hapa ni harakati za makusudi za kuhakikisha JamiiForums.com unakuwa mtandao husiyo na hadhi ya kuibua hoja za kujenga na kuimarisha uelewa na maendeleo ya watanzania kabla ya 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom