Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Wakuu naomba nijuzwe uzuri na ubaya wa gari aina ya Opa.

Umetoka nje ya mada mkuu.mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.
Well said.mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.
mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.

Off point. Sasa mbona hujatoa ushauri!!!
Ubaya wa Opa lina shape ya jeneza.
Mi nafikiri wadau hamumfanyii haki jamaa, kaomba ushauri kwa nia nzuri pengine anataka kununua moja ya gari kati ya mengi,anauliza tu aelewe ili afanye desicion,lakin mnaleta utani.Jf imeanza kuwa kama uhuni flani hv naona siku hizi,naombeni tujiheshimu tuheshimu hili jukwaa hata kama hatujuani kwa majina yetu halisi,mi binafsi limenisaidia sana.
Mpeni ushauri sio kumnanga kama hujui just keep quite.Ila mimi kwa upande wangu naona ubaya kwenye shepu yake haina mvuto, ipo chini na inakula mafuta ukilinganisha na IST
mkuu mm nakupa ushauri kama fundi hiyo gari sio nzuri kibongo bongo ni pasua sana kama litakuwa na engine ya D4 lakini kama itakuwa na engine ya vvti haina shida mkuu maswala ya mwonekano na umbile lake ww mwenyewe unaufaham.
spea zingine kwa bongo hazisumbua kabisaaaa sababu zipo tele.
ila kama itakuwa na engine ya D4 plz mkuu usiguse kabisa lasivyo ukinunua ujiandae kubadilisha engine.
engine za D4 kibongo bongo ni pasua sababu tatizo lake kubwa ni miss ya mafuta aina hii ya engine huwa inakuwa na tatizo kubwa kwenye mfumo wa mafuta na hasa nozeli sababu hazitaki mafuta ya kuchakachua yanaziharibu kwea kujenga uchafu ndani pamoja na kuiharibu pump ya D4 hivyo kutwa utashinda gereji na asilimia 99 ya magali yanayopatikana bongo yaliyokuja na engine ya D4 watu washabadili engine hizo.
sasa ni bola unaponunua angalia kabisaa usiingie mkenge ndugu au kama ushanunua jiandae kubadili engine sababu zikianza kusumbua hakunaga tiba ni miss kwa kwenda mbele.
ila kama utapata opa yenye engine ambayo sio D4 ni poa sana.
nakutakia uchaguzi mwema na ukinunua D4 mafundi tupo mkuu tutakusaidia kuzipunguza pesa zako sio kukutengenezea gari .