mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Nilikuwa sijafuatilia vizuri wateuliwa hawa...
Baada ya kuangalia vizuri nimeona kuna vijana wengi ambao wameaminiwa kufanya kazi kubwa hizi.
Mfano pekee ni Mh UWESO wa pangani, kijana ambaye ndio nyota yake inang'aa ktk medani za siasa, Na vijana wengine wengi ambao wapo ktk baraza hili wanaoapishwa leo.
Hizi sura za vijana zinatupa picha gani?
Kwa maoni yangu ni hatua nzuri kuwaandaa vijana miaka ijayo tuweze kuwa na watu wa kuchukua nafasi kubwa nchini. VIJANA WA SASA NDIO TAIFA LA KESHO NA NDIO VIONGOZI WA KESHO.