Nini Tafsiri ya Ubalozi wa Canada kufanya sherehe za taifa lake Dodoma ili wabunge wahudhurie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Tafsiri ya Ubalozi wa Canada kufanya sherehe za taifa lake Dodoma ili wabunge wahudhurie?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FJM, Jun 22, 2011.

 1. F

  FJM JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wakati Spika anafunga kikao cha Bunge jioni 22/06/11 amesikika akiwatarifu wabunge wote kuwa wamealikwa kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya Taifa la Canada hapo kesho. Kwa maelezo ya Spika ni kwamba Ubalozi wa Canada wameamua kwa makusudi kabisa kufanya sherehe hizo mwaka huu Dodoma ili wabunge waweze kuhudhuria.

  Swali langu, kuna uhusiano wowote wa hii sherehe na matukio ya Tarime? Inawezekana Barrick kupitia Ubalozi wa Canada (Barrick inatoka Canada) kuwalainisha wabunge kwa kisingizio cha sherehe za taifa? Tukumbuke hakuna uchunguzi wowote umefanyika dhidi ya matukio ya Tarime.

  Naomba mchango wenu.
   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,686
  Likes Received: 21,951
  Trophy Points: 280
  Kama vile uko sahihi.
   
 3. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sherehe za taifa lolote ndani ya nchi nyingine zinatakiwa zifanyike kwenye ubalozi wake, du hii ya dodoma kali wabunge wote lazima kuna uzamini wa barrick.
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Membe huwa ana chonga sana juu ya hili vipi ? Maana kama ni kuwanunua Wabunge basi CCM watapatikana lakini wakiwa na uchungu na Nchi wanawezan kwenda na bado wakahoji hata tendo hilo . Mbona wana waalika wabunge pekee je wananchi wengine wasio wabunge hawatakiwi ?
   
 5. x

  xman Senior Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi mbona sijaona ubaya wowote wa sheree hzo kufanyika dom na isitoshe ni makao makuu ya nchi, alafu huyo aliyeandika hapo juu kuwa sherehe za nchi lazima zifanyike katika balozi yake si kweli jambo hlo, kufanya sherehe ktk balozi yko ni custom tu ambazo nchi zimeadopt, labda kuwenamakubaliano maalum baina ya nchi ambayo yatailazimisha nchi usika kufanya sherehe ktk ubalozi wake
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ulitaka waje wafanyie kwenu?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwangu mimi kitendo cha Ubalozi wa Canada kuwaandalia wabunge wetu sherehe days after the Spika blocked a member of the the parliament from asking questions regarding the killing of innocent civilians is yet another indication of how Barrick and the Canadian government intend to do evil as long as they get what they want.

  Hivi Spika na wabunge wanaweza kusema kwanini hakuna parlimentary inquiry mpaka sasa hivi kuhusu mauajit Tarime?
   
 8. T

  Technology JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  My Take: Probably the Ambasador is aiming to apologise to Tanzanian people on behalf of his country for what had happened in Tarime. Ningekua MBOWE ningewashauri wabunge woote wa upinzani wagome kwenda ktk tafrija hiyo na wangetuma mwakilishi mmoja tu kuitaka serikali ya canada kuilazimisha serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji hayo
   
 9. Mwamanda

  Mwamanda Senior Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Jamani lazima tusome katikati ya mstari ili tuelewe maana halisi ya sherehe hiyo na kuamua kuifanyia katika bunge la muungano katika kipindi hiki.Waswahili wanasema hakuna ofa ya bure na hususani wakati huu ambao bajeti ya wizara ya nishati na madini itawasilishwa bungeni.Na inategemea kuwa wabunge kuhoji kulikoni katika migodi ya dhahabu.
   
 10. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Wanajenga uhusiano wa kidiplomasia kati ya Bunge la Tanzania na Canada. Unajua watu wenye uhusiano wa kidplomasia wanavyoelezana kama mmoja atakosea? Usishangae siku Barrick wakiburunda mambo wabunge waseme " You know? Canada is a very rich and peaceful country and a friend indeed to Tanzania. We welcome you to Dodoma, Mwanza, Dar es salaam and feel at home" ..... Unajua kingereza cha watawala wetu tena.....weeee.....we.....aamh.........Barrick will be........protected against...... all epidemics.......ooh.....aamh....against ... minerals. .....No I mean..... all dangeroussss.............I'mmmmmh........people....an .....all....all......aammmh!...all ....eeh....wall......wall.....climbers.....in.... aaa......! Tarime....Nyamongo.......aaan.... Chadema.....will.....aaahm....say.....say....eeeeh.....weeeeeeeh... but....but.... CC....aaah CC....eeh CCM .....don't....aaah..GIVE A SHIT!.....yeah...aaah!.... yeah...... give a damn! Yeah......!!

  Hao ndiyo magamba! Natamani kujitoa mhanga nilipuke na TV yangu ili nisiwaone wanavyoshabikia pumba kule Mjengoni lakini sina namna.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa mara ya kwanza, wawakilishi wa wananchi kwa maana ya wabunge kesho watakula chakula kilichojaa damu ya watanzania - bloody food!
  Horror and Sorrow at the same time!
   
 12. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Canada katika miaka ya hivi karibuni imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiana wa karibu na serikali yetu, bila shaka kwa lengo la kulinda vitenga uchumi vilivyowekezwa hapa nchini na raia wake; itakumbukwa katika bajeti ya mwaka unaomalizika baadaye mwezi huu ilibidi nchi hiyo iongeza msaada wake kwa bajeti hiyo mara mbili ili kuziba pengo llililoachwa wasi na baadhi walio amua kupunguza misaada yao baada ya kutoridhishwa na utendaji wa serikali
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu hizi habari umezipata wapi?
  Hakuna sherehe yoyote ya Kitaifa Canada Kesho wala kesho kutwa!
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naomba usome tena mwanzo wa thread. Speaker Anna Makinda katangaza mwaliko bungeni wakati wa kufunga kikao cha 22/06/2011. Infact alieza kabisa kuwa kiitifaki Ubalozi wa Canada usingeweza kufanya sherehe hizo kwenye viwanja vya bunge pamoja na kwamba wao (ubalozi wa Canada) wameamua mwaka huu kuleta hii sherehe Dodoma mahsusi kwa ajili ya wabunge!
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimesoma na ndio nikajibu ebu tafsiri wewe nilipoweka bold.. Imeandikwa hivi:-

  Wakati Spika anafunga kikao cha Bunge jioni 22/06/11 amesikika akiwatarifu wabunge wote kuwa wamealikwa kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya Taifa la Canada hapo kesho. Kwa maelezo ya Spika ni kwamba Ubalozi wa Canada wameamua kwa makusudi kabisa kufanya sherehe hizo mwaka huu Dodoma ili wabunge waweze kuhudhuria. Swali langu, kuna uhusiano wowote wa hii sherehe na matukio ya Tarime? Inawezekana Barrick kupitia Ubalozi wa Canada (Barrick inatoka Canada) kuwalainisha wabunge kwa kisingizio cha sherehe za taifa? Tukumbuke hakuna uchunguzi wowote umefinyika dhidi ya matukio ya Tarime.

  Na majibu yangu ni kwamba hakuna sikukuu yoyote ya Kitaifa Canada, kesho wala kesho kutwa kwa hiyo sikukuu mnayozungumzia ni sikukuu gani ya Kitaifa.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this is not the first time wakuu
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Mkandara, mimi na wewe tunaweza ku-debate forever hapa jamvini kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa sherehe za Canada leo, kesho and forever after. But that will not change the fact that wabunge wetu wameshatangaziwa mualiko na Spika live on National Television.

  Sasa kama sherehe za aina hiyo hazipo kwenye national calendar ya Canada, that makes the whole thing even more 'juicer' kwa sababu itakuwa ni wazi kabisa kwamba Ubalozi wa Canada wameandaa sherehe kwa wabunge wa Tanzania 'conviniently' to serve thier (canada) agenda. and what is thier agenda?
   
 18. a

  alles JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2006
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Canada wanawaonga viongozi wetu na kuwanyamazisha wabunge ili waendelee kufaidi rasilimali zetu. Chunguzeni kila linapotokea jambo baya linawahusu Barrick ubarozi wa Canada unaingilia kati kutuliza mzuka.

  Inawezekana viongozi wetu wananufaika nao. check hii news kutoka "the citizen news "the government has offered more tax concessions to mining companies despite growing concerns that the country is not earning its fair share from minerals and other resources exploited by multinationals.

  In the Finance Bill 2011, the government also made further tax revisions by increasing excise duty on kerosene from Sh52 to Sh400.30 per litre and decreasing the traffic notification fee from the proposed Sh50,000 to Sh30,000"..... kwa news zaidi bofya Mining firms get more tax waivers
   
 19. Saeedgenius

  Saeedgenius Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni kweli hakuna sherehe yoyote ya kitaifa Canada kesho wala keshokutwa. Nadhani upinzani kama kuna wasiwasi wajichanganye vyema ili kama kuna mchezo mchafu waushuhudie na kutupatia maelezo.
   
 20. T

  The Priest JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nimealikwa kwny hiyo sherehe na rafiki yangu mfanyakazi wa bunge,sasa kama imehamishiwa st.gasper cjui kama mwaliko wangu ni valid...ha ha!
   
Loading...