Nini tafsiri ya serikali haina shamba halafu kuna haya..?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,263
69,509
Bado nashindwa kuelewa tafsiri ya serikali haina shamba wkt huohuo inavyuo vya kilimo,kuna wataalam wa kilimo,asilimia 70 ya ardhi yetu inaruhusu kilimo,kuna ziwa tanganyika,viktoria,rukwa,bahari ya hindi, mito na mabwawa!,nguvu kazi si yakuuliza.
mbali na hapo kuna office zinazoshughulika na maswala ya kilimo mfano ukiriguru mwanza.

hebu jamani nisaidieni tafsiri ya kauli hiyo huenda nina kichwa kigumu ktk kung'amua mambo...
 
Back
Top Bottom