Nini tafsiri ya neno "Rushwa"?

MWATANI

Member
Feb 14, 2014
45
44
" Polisi (traffic) akipewa elfu tano ya kubrashi viatu sio vibaya" nani atampa hiyo noti na ni baada ya kusimamishwa kwa kutenda kosa au ni willing ya raia mwema kuguswa na kazi ngumu ya polisi" kiongozi anaweza kuhararisha rushwa indirect bila kujua" ni mtazamo wangu tu.
 
E bwana ee, hii haijakaa sawa. Tena naona unalemba kidogo kauli ya mkuu. Yeye raisi anaona rushwa ni zile pesa kubwa kubwa haon athari za za rushwa ndogo ndogo ndio kero kubwa kwa wananchi. Tena yeye katamka 5000 wakat huku mtaan tunalia na rushwa za 2000. Kiukweli raisi wettu hakujiandaa kiuongozi. Ett wanasema mnakula rushwa, kwan 5000 nayo ni rushwa!
Sasa sijui ni nini. Kuanzia leo trafik kumpa 5000 ruksa. Ukipeleka malalamiko serkalin utaambiwa ilikua ya kublash kiatu.
 
Back
Top Bottom