Nini tafsiri ya neno hili mwishoni mwa baadhi ya video za miziki

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
430
780
Asaalam....
.
.
neno la kimombo "To be continued" lina maana "itaendelea" zipo video za miziki kadhaa neno hili lipo, nina shauku ya kutaka kujua nini tafsiri yake kwenye muziki husika! nini kitakachoendelea? au hua wana maanisha mwendelezo wa nini?
.
.
asante
 
hyo mara nyingi hutokea pale video husika inapoisha alafu wakaweka trailer ya video hijayo ndo maana ya hyo nema kama ushawahi kuiona video ya mambo bado chege,tembo na lady jd mwishon inakuja ngoma nyingin mkono moja juu alafu inakatishwa ikaandikwa to be ct........n nais umenyelewa
 
Back
Top Bottom