Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Nanukuu " IELEWEKE KWAMBA serikali imeshapokea kibali cha ajira hivyo itatoa ajira kwa awam awam ili kuepuka kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwaiyo ajira hazitatolewa pamoja bali kwa awam,"
Tutaanza kuajiri walimu wa sayansi na wahadhiri kisha afya harafu wengine
Hivi kwa iyo wizara nyingine mama zinaitaji wafanya kazi wasubiri awamu yao mbona jambo hili halina mantiki kabisa, ukisha ajiri walimu ukaajiri afya kisha ukaajiri kada nyingine mzunguko unaisha hadi mwaka unaofuata au
kuajiri kwa awamu sioni mantiki yake