Nini tafsiri ya kifungu hiki cha sheria kutoka kwenye National Leaders' Funeral Act

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
434
1,000
Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?

IMG_20210322_100042_969.JPG
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
69,751
2,000
Tafsiri isiyo rasmin:

Msemaji wa mambo au shughuli za kiserikali ni mmoja tu na siyo vinginevyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom