Nini suruhisho la undugu,ukabila na udini katika sekta ya ajira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini suruhisho la undugu,ukabila na udini katika sekta ya ajira?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by damashizo, Nov 1, 2011.

 1. d

  damashizo Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Ndugu wanajamii forum naamini kesho au keshokutwa kama sio mimi au ni wewe tutakuwa katika nyasifa mbalimbali za uongozi hivyo pamoja na kutoa maoni kwa viongozi waliopo itakuwa ni nafasi kwetu kama viongozi tunaokuja, kuelewa na kuondoa kabisa undugu, ukabila na udini katika ajira kwani jambo hili ni hatari kwa maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla. Naomba tuchangie mawazo nini suluhisho la tatizo hili katika sekta ya ajira.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  dah! Hawa dawa yao ni kuwaambia ukweli hao wadini/wakabila ya kuwa wakifanyacho sio sahihi na kinapingwa na kila mtu. Nalog off
   
 3. Nestory87

  Nestory87 Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata husitumia hasira mda wenye mdogo kabla dunia kuisha ndo hayo 2
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  mpaka chama cha chetu.........kiingie madalakani
   
Loading...