wewe njoo huku free stress wenger kaanza kunenepaDk 45 zlzobaki si nyingi tusikimbiane apaa
WaTZ kama wewe tupo wengi kaka na mchawi wetu ni mmoja tu.Anyway dawa pekee ya msongo wa mawazo ni kuwa na dharau kuhusu mapito yako.Habarini wakuu!
Natumaini pasaka ilikuwa vyema kabisa kwetu sote,tujikite kwenye topic
Binafsi kwa miaka ya karibuni nimeanza kuona matokeo ya stress zisizokwisha,binafsi huniwia ugumu mno kuzuia hali hii kwa sababu ya changamoto za kimaisha (bado napambana kuzitatua) ,hizi n outcomes zilizojitokeza
Maumivu ya kichwa yasiyokwisha
Kizunguzungu(baada ya kupima niliambiwa ni presha)
Uchovu usio wa kawaida
Kchefuchefu na kukosa hamu ya kula
Kupoteza uzito kutoka 55 kilos had 46kilos
Anxiety
Haya ni matokeo machungu nayoyaona na nadhan nimeshaadhiriwa sana kisaikolojia
Je inawezekana kuushinda msongo wa mawazo mahali ambapo ni vigumu kutatua changamoto zinazokukabili?
Huna dawa zisizo na madhara zinazweza kusaidia tatizo hili?
Hapana mkuu.Nilimaanisha mastabesheniUnamaanisha punyeto mkuu?
Usiongeze kitu kbs (maji na kahawa tu)Mkuu hzi mbegu nikishaloweka siku moja naweza loweka mbegu hzohzo kwa siku inayofuata?
Je naweza changanya na sukari au asali?
Je nakunywa glas nzima au kiasi?
Pole mkuu,,pole mno,,hii hali ilinikuta miaka minne iliyopita baada ya kufiwa ,nlipungua kutoka kg 65 ad 48.Nilichukua hatua zifuatazoHabarini wakuu!
Natumaini pasaka ilikuwa vyema kabisa kwetu sote,tujikite kwenye topic
Binafsi kwa miaka ya karibuni nimeanza kuona matokeo ya stress zisizokwisha,binafsi huniwia ugumu mno kuzuia hali hii kwa sababu ya changamoto za kimaisha (bado napambana kuzitatua) ,hizi n outcomes zilizojitokeza
Maumivu ya kichwa yasiyokwisha
Kizunguzungu(baada ya kupima niliambiwa ni presha)
Uchovu usio wa kawaida
Kchefuchefu na kukosa hamu ya kula
Kupoteza uzito kutoka 55 kilos had 46kilos
Anxiety
Haya ni matokeo machungu nayoyaona na nadhan nimeshaadhiriwa sana kisaikolojia
Je inawezekana kuushinda msongo wa mawazo mahali ambapo ni vigumu kutatua changamoto zinazokukabili?
Huna dawa zisizo na madhara zinazweza kusaidia tatizo hili?
Ahsante mkuu kwa ushauri murua barikiwa sana naamini ushauri wako hautonisadia mimi pekee be blessedPole mkuu,,pole mno,,hii hali ilinikuta miaka minne iliyopita baada ya kufiwa ,nlipungua kutoka kg 65 ad 48.Nilichukua hatua zifuatazo
1.Nilitafuta kua karibu na watu ambao walikua wakinishauri,kunifariji kunitia moyo na kunipa mawazo chanya.
2.Nilishauriwa kufanya mazoezi japo mara mbil kwa Siku.
3.Kula chakula cha kushiba na kunywa maji mengi.
4.Nilijipa moyo kwamba hatarudi tena hivyo nisiendelee kuumia mwishowe nisije kuugua
5.Niliongeza ibada na kusoma vitabu vitakakatifu huku nikizingatia zaidi ile mistari inayofariji na kutia moyo
6.Sikujiingiza kwenye mahusiano kwa sabab yanaweza kua chanzo cha kukuongezea msongo wa mawazo.
7.Nilikua najichanganya na watu ili kujaribu kupoteza yale mawazo yalikokua yakinisumbua.
8.Nilikua napata muda mzuri wa kupumzika.
Msongo wa mawazo unatesa sana,unaweza ukajiona uko peke yako hapa dunian,ila usikate tamaa,,fuata ushaur uliopewa na wakuu utakaokufaa kulingna na changamoto inayokukabili,nina iman utakaa sawa.