Nini status ya Baraza la Mawaziri la Magufuli sasa na baada ya Samia Suluhu Hassan kuapishwa?

Makamu wa raisi ni part and parcel ya presidency Sheria inatambua John na Samia ndio waliounda baraza kwa hivyo halivunjwi bali anarithi .........

But as days goes by anaweza kulibadirisha atakavyo akishauriana na makamu wake......ie nyofoa huyu weka yule nk....lakini hawezi kulivunja lote kwa wakati mmoja kwa kuwa hakuna serekali mpya hapo inayoingia madarakani ni ile ile
kwa hiyo hii siyo awamu ya sita?
 
mawaziri lazima wale kiapo cha utii mbele. ya rais mpya hivyo lzm aunde baraza upya.
 
Back
Top Bottom