Nini status ya Baraza la Mawaziri la Magufuli sasa na baada ya Samia Suluhu Hassan kuapishwa?

Na Kama anaapishwa kwenda kuwa Rais mwenye mamlaka kamili vipi soon baada ya kuapishwa akitangaza kulivunja baraza lote la mawaziri?
Atalivunja, soon or later. Ni dhahiri kwamba Rais Samia angependa kuongoza Baraza la Mawaziri alilolichagua yeye na si mwingine. Atalivunja tu.ead my lips!
 
Katiba ndiyo inasema hivyo? siku zote wakati wa uapisho makamu uwepo kwenye ukumbi au hiyo sio kula kiapo mbele yake?
Hapo hajala kiapo mbele yake. Alikula kiapo mbele ya rais alie muapisha. Ndio maana wakati una kula kiapo lazima umuangalie anae kulisha kiapo kwamba utamtii. Na usipo mwangalia hutakiwa kurudia kiapo chako. Kama ndio hivyo basi hata mama alisha kula kiapo
 
Kuhusu tundu kuwa raisi Naomba tusahau
Kuna waliobeba SMG kummaliza,wameondoka wao Tena kifala tu pamoja na ubabe wote. Wenye upevu wa akili wanajua.

Ila Tundu mwanaume wa shoka ukiona mwanamme unalala,unatembea Ni kumuota mwanaume mwenzio kila saa ujue mwanaume huyo Ni kiboko.

Ukiona mwanaume tena na ubabe wake wote anaenda kuchapisha kura za wizi na kuzibeba na mabegi na viroba kisa anamhofia Tundu,basi Tundu Ni kiboko.

By the way hoja ni Kuvunja baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom