Nini special kwa Bernard Membe wa sasa?

so law

Senior Member
Dec 24, 2018
101
269
Yaani nashangaa inamaana upinzani tumekosa kabisa sera Na mikakati ya kuiondoa CCM mamlakani 2020??

nachukizwa na jinsi upinzani ulivogeuka mtetezi wa kila mwana ccm anaonekana yupo tofauti na magufuli...!

Guys ccm wana chama chao na mambo yao wanayajua wenyew.

Leo hii watu tena viongozi wakubwa upinzani mnamshupalia BERNARD MEMBE kweli Jaman...??
Yaani MEMBE anaonekana shujaa leo kwa Kisa tu yupo against na magu.!

Let's be real.. Kina MEMBE hawa ndo walikuwepo awamu ambayo tuliwapoteza watu na wengine waliteswa (Dr. Ulimboka, na kina mvungi.) hakuna jipya ndani ya ccm trust me HAKUNAAA!!!!

Yaani kina Nape nauye siku hizi ndo mabest zetu wezi mashuhuri wa kura, wanaonekana mashujaa..!


Tumetingwa na kina MEMBE mpka tunasahau kuna CHUMA kipo ubelgiji .


OK fine vipi CCM wakisema 2020 MEMBE anasimama kugombea urais tutarudi na hoja gani ikiwa sasa hv tunamapmba kwamba ni ni "MWANADIPLOMASIA, MWANA DEMOKRASIA anastahili kuwa RAIS. "
Tutakuja na mbinu gani tena kumtetea atakae kuwa mgombea wetu.!?
Wake up guys.
We better than that.!
 
Kifutu umevurugwaa... Mzoee kuishi na mikia mifupi sasa.... Inaonekana Inzi wanawatesa..

Upinzani uko na Dai la Tume huru kwa sasa.....

Nyie kataneni mikiaaa.....

Copy kwa Vifutu na Chatu wrote

Endeleeni kujitutumua.
 
Ndiye mtu pekee anayeweza kunusuru hali ya uchumi.... This kind ya uchumi ikiendelea tena kwa miaka 5 ijayo tutabaki na makampuni chini ya 20 nchi nzima
 
Katika wagombea woote tunaoweza kuwahisi hakuna mgombea anayeweza kuwa bora zaidi ya Membe... Tatizo ni chama cha mapindizi na tabia ya kushindwa kusimamia kweli...Lisu ni mwanaharakati mzuri lakini hawezi kuwa raid bora ni mbishi na mjuaji mwenye lugha kali mmmno!

Tunahitaji mwana diplomasia mwenye welewa wa kimataifa,mpenda maendeleo ya watu,asiye na vinyongo au ushamba wa uongozi pia mcha Mungu wa kweli bila kujionesha-onesha. Unajisikiaje kuongoza nchi ambayo wananchi wengi wameshika tama??wakulima,wafanyakazi,wanabiashara,wanasiasa nk. wooote wameshika tama alafu MTU na kikundi chake chakina bashite wao ni kujitunisha utadhani nchi ni mali yao.

Tunahitaji katiba mpya ili kufuta majivuni yakijinga pale mbahatishaji anapopata uongozi...uchaguzi ujao mgombea tumdai katiba mpya ndani ya siku 100 za mwanzo baada ya kuingia madarakani tena tumuapize mgombea atayeahidi hilo kwani wakipata huwa wanatugeuka bila aibu.

Mungu ajaalie taifa hilo uwelewa na kututenga na woga na ujinga!!
 
Shauri yenu wapinzani huko - huku CCM hayo yenu hayatuhusu.
tumedhamiria kuliondoa giza lililoligubika taifa tangu October 2015.

tukiliondoa hili giza hatutajali rangi ya nuru itakayokuja kama mbadala (iwe ya Lumumba au Ufipa sisi CCM itakuwa poa tu ilimradi tu giza liwe limeondoka!).
 
usishangae, watu kumwona membe anafaa ni ushahidi wa jinsi JPM alivyovurunda, yaani membe anaonekana mkombozi! kweli nchi imepotea njia.
 
Membe hasifiwi km unavoeleza wewe, em toa mfano wa kiongozi anaemsifu, Magufuli ni tatizo kwa Demokrasi,pia utawala usiofuata sheria na unaofanya mambo gizani
 
Kwani umesahau urithi kutoka kwa mwenyekiti wetu kaka? Ni kubadili gia angani tu. Tunaanza na hela za gadaffi, tunakuja na ubadhirifu wa kiwanda cha cement lindi, ukwepaji kodi wa hotel yake ya naf beach mtwara hadi ikafungiwa na tra pamoja na uharibifu wa mikoko, kuboronga alipokuwa waziri wa mambo ya nje na safari zisizokwisha, sera mbaya za uwekezaji alizosimamia ikiwemo gesi na madini.
 
Yes hafai ...sasa ndo nn kuwashabikia watu wanaotoka huko huko.
Kama hafai basi aibuliwe mtu makini upinzani anaeweza kumpiku MEMBE. Sio kukaa nakushangilia tu
Ukiona hivyo jua aliye mamlakani hafai kaharibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom