Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,820
- 2,772
Baada ya kupata kichefu chefu kilichosababishwa na mafisadi hadi wengine kuachia ngazi mwenzenu nimebaki na swali moja ambalo jibu lake sijalipata naomba Wana JF nisaidieni. Swali lenyewe ni hili Nini siri ya Baraza la Mawaziri ambapo kila waziri anapoa apa hutamka "...na kamwe sitatoa siri za baraza la mawaziri, ee mwenyezi Mungu nisaidie."