Uchaguzi 2020 Nini siri ya mafanikio ya wagombea wa CCM katika ujazaji na urejeshaji fomu za uteuzi?

Mkuu kurudisha fomu ilikuwa ni siku yoyote baada ya kuichukua, leo ilikuwa siku ya mwisho, na ndio siku ya uteuzi wa wagombea. Pitia tena sheria vizuri boss.
Husitufanye hatujui kusoma sheria. Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurudisha form tarehe 25/08/2020 kuanzia saa mbili mpaka kumi jioni. Wewe umeisoma sheria ipo
 
Hujuajua bado mambo yanafanyikaje. Form za wagombea wa CCM zina hukuliwa kabla ya muda wa kutoa form, zinajazwa na kitengo maalumu na kurudishwa kabla ya wakati. Unayoona kwenye secretary bags ni forms zisizohitaji kufanyiwa kazi yoyote!! Mgombea wa CCM anafanya kutia sahihi tu!!

Pamoja na hayo - haizuii wagombea wa vyama vingine kujaza zao kwa usahihi.

Shida kubwa iko kwenye makosa madogo madogo ya kiuandishi au taarifa zisizo za msingi kufanywa muhimu ili kuengua wagombea. Taarifa ya namba ya nyumba mgombea anaishi ina umuhimu gani kulinganishwa na hali yake ya kuchagua u kuchaguliwa? Au namba ya simu ya mezani kukataliwa kwa sababu tu imesajiliwa kwa jina la mtu asiyemgombea.
 
Kisheria ama? Mmekata mapingamizi? Nauliza, hivi kuna sababu gani ya wagombea wa Cdm kusubiri hadi siku ya mwisho wakati inafahamika figisu ni lazima?
Kurudisha fomu kwa ratiba ya NEC ilikuwa ni siku moja tu. Wangerudisha kabla ya siku iliyowekwa? Nani angepokea?
 
Ipo siku Amani ya Nchii hii itatoweka ... hivi si viashiria vizuri,,,,huu unaelekea kua UTARATIBU rasmi,,,,USISEMI HAIWEZI KUTOKEA ,,,kila kitu kina mwanzo
 
Pia CCM wanaofisi za chama zenye furniture na officials wanaolipwa na chama nchi nzima..pia CCM walianzisha mtindo wa kuwabana Viongozi wa chama kama vile makatibu wa wilaya na wenyeviti kutokugombea nafasi nyingi katika chama..SASA wapinzani wengi wabunge karibia wote ndio wenyeviti na makatibu wa vyama katika maeneo Yao..SASA linapokuja swala la msaada wa kiofisi inakua changamoto manake Viongozi wote ni wagombea tofauti na CCM.
Chadema wao wanasema amna haja ya kujenga ofisi kwa kuwa zipo moyoni .kituko sana hichi chama
 
Husitufanye hatujui kusoma sheria. Leo ndio ilikuwa siku rasmi ya kurudisha form tarehe 25/08/2020 kuanzia saa mbili mpaka kumi jioni. Wewe umeisoma sheria ipo

Kwenye nafasi ya urais tu, jana ndio ilikuwa mwisho. Mbona Membe alipeleka juzi? Akina Lusi Owenya na mwenzake walipeleka juzi kisha ikatokea sintofahamu ya kuwa fomu ni fake.
 
Amani ya nchi hii itaharibiwa na uroho wa madaraka wa CCM na kutuona Watanzania kama MAZEZETA yanayofugwa kwenye makasri ya Masaki na Oysterbay, Mikocheni na Mbezi Beach
 
CCM huwa wanasambaza wanasheria wao kuhakikisha fomu zinajazwa vizuri. inawezekana hili linawasaidia sana.

Makandokando mengine ni wagombea wa upinzani kukosa uaminifu kwa vyama vyao hivyo kununuliwa hasa ukizingatia wengi wao husimama wenyewe kwa gharama zao wakati wa kampeni huku ukiwa huna uhakika wa kushinda.

kukwepa hasara, wanaona bora wafanye biashara
Slave trade
 
Ipo siku Amani ya Nchii hii itatoweka ... hivi si viashiria vizuri,,,,huu unaelekea kua UTARATIBU rasmi,,,,USISEMI HAIWEZI KUTOKEA ,,,kila kitu kina mwanzo
mbona mnatulazimisha sana wananchi tuwaonee huruma, acha kauli za kipumbavu amani itatoweka mioyoni mwenu maana mko kama wagonjwa wa akili. Hukumu ni October msitulazimishe vitu vya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom