Nini siri ya mafanikio ya Tanzania katika Vita dhidi ya Corona, wapi Kenya ilipojikwaa?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,375
2,000
Kwanza niwapongeze wote ambao tumechangia na tunaendelea kuchangia mijadala inayolinganisha bandari ya Mombasa na ile ya Dar, na mjadala kuhusu TRA na KRA.

Katika mijadala yote hii ninawapongeza watanzania kwani wengi wao wamekubali kwamba Kenya inafanya vizuri katika hayo maeneo mawili kuizidi Tanzania, huo ndio uungwana kwa mtu yeyote mwenye busara hapaswi kukubaliana na ukweli japo huo ukweli unamshusha chini, kwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kujifunza kwa aliyefanya vizuri.

Kwa mantiki hiyo hiyo, ningependa tujadili siri ya Tanzania iliyoifanya Tanzania kuwa gumzo dunia nzima na kuwa nchi ya kwanza dunia kuruhusu shughuli zote za maisha kurejea bila kupatwa na athari za Corona kama ilivyotokea katika nchi nyingi duniani ikiwemo Kenya.

Ni ukweli kwamba Tanzania imeshinda au inakaribia kushinda Vita dhidi ya Corona, dunia imeanza kukubali ikiwemo Kenya ambayo kwa muda mrefu sana imekua ikipinga, kitendo cha Kenya kuiweka Tanzania katika kundi la nchi salama ni ushahidi ulio wazi.

Lakini pia ni ukweli kwamba watu wengi duniani wakiwemo watanzania wengi, na wakenya bado hawaelewi hasa kitu gani kilisababisha Tanzania kushinda hii vita, na Corona kudhibitiwa haraka kuliko nchi yoyote ile duniani. Kenya bado inaendelea kusumbuliwa na Corona kiasi cha kuogopa hata kufungua shule na vyuo vya Elimu, wakati kwa upande wa Tanzania, sasa ni takriban miezi 4 tangu shule zote kufunguliwa lakini hakuna taarifa wala dalili za kuwepo kwa maambukizi mashuleni.

Lengo la uzi huu ni kujifunza yale mazuri yalitofanywa na Tanzania kama yapo, na wapi Kenya inapokosea ili Kenya iweze kujirekebisha.

Maswali chachushi:

1) Nini kilichofanywa na Tanzania kilichosababisha kuishinda Corona?
2) Kenya inakosea wapi?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
215
250
ushindi wa corona kwa tanzania umetokana na sababu zifuatazo:

1. kutokukubali kushikiwa akili na wazungu
2. matumizi ya tiba asilia kama walivyofanya wachina

3.kumuomba mungu kama sehemu ya kutuondoshea janga hili, ibada za namna hii zilifanyika hata zamani kabla ya ujio wa dini, wazee walipopatwa majanga ya mvua, njaa na magonjwa walifanya ibada zao kwa miungu yao kwa lengo la kuepushwa na majanga.

wakenya walifeli sababu wamekubali kushikiwa akili na mzungu kwa kila kitu, wanaamini science ya mzungu kuliko hata mungu pia wanazidharau tiba asilia zilizowatibu mababu zetu hata kabla ya mzungu
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
662
500
Kabla sijamalizia kusoma uzi wako naomba tu nikwambie kwamba Kenya kukubali sisi wa Tz sio kwamba wamependa hapana ni kwamba hawana namna tayari watu wengi ktk shirka la KQ walisha atharika na anguko la uchumi pakubwa sana kwenye usafiri wa anga. Kwann nasema hivi, mfano kuyumba kiuchumi kwenye sekta ya anga ilikuwa nipakubwa kwa KQ wakati wa korona lakini bado walikuwa wanajitaidi kupambana na walikuwa wanafanya kazi walau kwa kiwango kidogo sana ilikuwa inasaidia shirka lao kwenye 1.2.3 lakini Tz tulipo wafungia KQ na isitoshe na zile ndege zao 3 sijui 4 ndogo za kufaulishia wateja ndo kabisa tulibana koromeo la shirka lao na lilipoanza ku-suffocate karibia na mauti kwasababu route ya Tanzania ndo route mama na yenye flow kubwa sana ya wateja wa KQ sasa basi wamekubali kwasababu they had no choice, ugly truth . Inabidi wakubali kuokoa jahazi lililokuwa likizama.
Haya ngoja niendelee kusoma mwendelezo.

Huu ni mtazamo wangu.

Safi

Sina haja ya finger talk tena, Mr. Sound amezunguza ukweli tosha. Mixing
1.modern medicine,
2.local herbs,
3.social distancing,
4.use of sanitizers more than 100 times a day and
5.Faith to GOD
6. NO LOCKDOWN

hizo ndo 6 pillars to beat covid-19.
Kwanza niwapongeze wote ambao tumechangia na tunaendelea kuchangia mijadala inayolinganisha bandari ya Mombasa na ile ya Dar, na mjadala kuhusu TRA na KRA.

Katika mijadala yote hii ninawapongeza watanzania kwani wengi wao wamekubali kwamba Kenya inafanya vizuri katika hayo maeneo mawili kuizidi Tanzania, huo ndio uungwana kwa mtu yeyote mwenye busara hapaswi kukubaliana na ukweli japo huo ukweli unamshusha chini, kwa kufanya hivyo ndio mwanzo wa kujifunza kwa aliyefanya vizuri.

Kwa mantiki hiyo hiyo, ningependa tujadili siri ya Tanzania iliyoifanya Tanzania kuwa gumzo dunia nzima na kuwa nchi ya kwanza dunia kuruhusu shughuli zote za maisha kurejea bila kupatwa na athari za Corona kama ilivyotokea katika nchi nyingi duniani ikiwemo Kenya.

Ni ukweli kwamba Tanzania imeshinda au inakaribia kushinda Vita dhidi ya Corona, dunia imeanza kukubali ikiwemo Kenya ambayo kwa muda mrefu sana imekua ikipinga, kitendo cha Kenya kuiweka Tanzania katika kundi la nchi salama ni ushahidi ulio wazi.

Lakini pia ni ukweli kwamba watu wengi duniani wakiwemo watanzania wengi, na wakenya bado hawaelewi hasa kitu gani kilisababisha Tanzania kushinda hii vita, na Corona kudhibitiwa haraka kuliko nchi yoyote ile duniani. Kenya bado inaendelea kusumbuliwa na Corona kiasi cha kuogopa hata kufungua shule na vyuo vya Elimu, wakati kwa upande wa Tanzania, sasa ni takriban miezi 4 tangu shule zote kufunguliwa lakini hakuna taarifa wala dalili za kuwepo kwa maambukizi mashuleni.

Lengo la uzi huu ni kujifunza yale mazuri yalitofanywa na Tanzania kama yapo, na wapi Kenya inapokosea ili Kenya iweze kujirekebisha.

Maswali chachushi:

1) Nini kilichofanywa na Tanzania kilichosababisha kuishinda Corona?
2) Kenya inakosea wapi?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,375
2,000
Kabla sijamalizia kusoma uzi wako naomba tu nikwambie kwamba Kenya kukubali sisi wa Tz sio kwamba wamependa hapana ni kwamba hawana namna tayari watu wengi ktk shirka la KQ walisha atharika na anguko la uchumi pakubwa sana kwenye usafiri wa anga. Kwann nasema hivi, mfano kuyumba kiuchumi kwenye sekta ya anga ilikuwa nipakubwa kwa KQ wakati wa korona lakini bado walikuwa wanajitaidi kupambana na walikuwa wanafanya kazi walau kwa kiwango kidogo sana ilikuwa inasaidia shirka lao kwenye 1.2.3 lakini Tz tulipo wafungia KQ na isitoshe na zile ndege zao 3 sijui 4 ndogo za kufaulishia wateja ndo kabisa tulibana koromeo la shirka lao na lilipoanza ku-suffocate karibia na mauti kwasababu route ya Tanzania ndo route mama na yenye flow kubwa sana ya wateja wa KQ sasa basi wamekubali kwasababu they had no choice, ugly truth . Inabidi wakubali kuokoa jahazi lililokuwa likizama.
Haya ngoja niendelee kusoma mwendelezo.

Huu ni mtazamo wangu.
Unataka kusema kwamba wakenya wapo desperate kiasi cha kuchuuza maisha ya kwa kuokoa KQ isisambaratike?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Delight

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
346
500
Kabla sijamalizia kusoma uzi wako naomba tu nikwambie kwamba Kenya kukubali sisi wa Tz sio kwamba wamependa hapana ni kwamba hawana namna tayari watu wengi ktk shirka la KQ walisha atharika na anguko la uchumi pakubwa sana kwenye usafiri wa anga. Kwann nasema hivi, mfano kuyumba kiuchumi kwenye sekta ya anga ilikuwa nipakubwa kwa KQ wakati wa korona lakini bado walikuwa wanajitaidi kupambana na walikuwa wanafanya kazi walau kwa kiwango kidogo sana ilikuwa inasaidia shirka lao kwenye 1.2.3 lakini Tz tulipo wafungia KQ na isitoshe na zile ndege zao 3 sijui 4 ndogo za kufaulishia wateja ndo kabisa tulibana koromeo la shirka lao na lilipoanza ku-suffocate karibia na mauti kwasababu route ya Tanzania ndo route mama na yenye flow kubwa sana ya wateja wa KQ sasa basi wamekubali kwasababu they had no choice, ugly truth . Inabidi wakubali kuokoa jahazi lililokuwa likizama.
Haya ngoja niendelee kusoma mwendelezo.

Huu ni mtazamo wangu.

This is the Holly truth, wakenya hawakua na option kwa kwa ajili ya KQ. Lakini yawezekana pia wanajua ukweli wa hali halisi ya corona lakini pesa za mabeberu kwa ajili ya corona zilikuwa tamu zaidi.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,375
2,000
hawa jamaa akili kuna mataka taka tu ndo maana wanapenda sifa sana, laiti wangekua waungwana wangekuja kujadili uzi huu kama walivyokuja kwenye mada 2 zilizopita
Hili ndio tatizo la wakenya, kamwe hawapendi kukubali kwamba wana mapungufu, hawapendi kukubali kwamba wanahitaji kujifunza toka kwa wengine.

Threads zote zinazoonyesha kwamba wao wanafanya vizuri watajazana sana, na michango yao mingi ni kujisifu zaidi badala ya kuonyesha njia ili nchi nyingine zijifunze. Katika mada zinazoonyesha wao wamekosea, mambo yafuatayo yatajitojeza
1)Watapinga kwamba sio kweli hiyo mada
2)Watarusha matusi ili mjadala upoteze mwelekeo
3)Hawatochangia kabisa
4)Wataingiza mada tofauti na inayojadiliwa.

Hao ndio wakenya, wanajua kila kitu hapa duniani, hawafanyi makosa na hawapo tayari kujifunza.
 
wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
662
500
Si mamamre tu hayo huyaoni kwanza yalivyo
Hili ndio tatizo la wakenya, kamwe hawapendi kukubali kwamba wana mapungufu, hawapendi kukubali kwamba wanahitaji kujifunza toka kwa wengine.

Threads zote zinazoonyesha kwamba wao wanafanya vizuri watajazana sana, na michango yao mingi ni kujisifu zaidi badala ya kuonyesha njia ili nchi nyingine zijifunze. Katika mada zinazoonyesha wao wamekosea, mambo yafuatayo yatajitojeza
1)Watapinga kwamba sio kweli hiyo mada
2)Watarusha matusi ili mjadala upoteze mwelekeo
3)Hawatochangia kabisa
4)Wataingiza mada tofauti na inayojadiliwa.

Hao ndio wakenya, wanajua kila kitu hapa duniani, hawafanyi makosa na hawapo tayari kujifunza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom