Nini siri wa ujasiri huu?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Wasaam wadau!!

Nimemtafakari sana Tundu Lissu,nimsomi pekee jasiri asiyemuogopa mtu yeyote,aijalishi anacheo gani wakati anatetea haki yake nawatanzania kwa ujumla..na Mimi kuanzia Leo sintaogopa cheo cha mtu nitatea haki na nitaikosoa hii serikali,nipo tapo tayari kufa.Kuanzia Leo nitapambani katiba mpya kama mbaya na iwe mbaya hakuna mtu ataishi milele.
 

Attachments

  • FB_IMG_1505889156393.jpg
    FB_IMG_1505889156393.jpg
    20.9 KB · Views: 26
Ji heshimu nawe uheshimiwa... Ukileta fujo utapigwa tuu... Kayanza Pinda
 
Back
Top Bottom